KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, September 9, 2013

Barcelona kumuongezea mkataba Andres Iniesta.

Mabingwa wa soka nchini Hispania Barcelona wanajipanga kutangaza mpango mpya wa usajili na kiungo wao Andres Iniesta.

Iniesta mwenye umri wa miaka 29 ambaye amekuwa amekuwa akiichezea klabu hiyo kwa kipindi chote mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika 2015.

Rais wa Barca Sandro Rosell alikuwa akiongea na TV3 akisema 

No comments:

Post a Comment