KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, September 7, 2013

Chris Coleman amesema asingeweza kumtumia Gareth Bale kwani hakuwa fiti katika mchezo waliofungwa na Macedonia.

Meneja wa timu ya taifa ya Wales Chris Coleman amesema hakujiandaa hiyo jana kumtumia kwa kumtoa muhanga mshambuliaji Gareth Bale katika mchezo wa jana dhidi ya Macedonia mchezo ambao walipokea kichapo cha mabao 2-1.

 Mshambuliaji huyo aliyesajiliwa na Real Madrid kwa uhamisho wa rekodi ya dunia alitajwa kuwa ni mchezaji wa akiba katika mchezo ambao umepigwa Skopje, ambao ulimalizika kwa Wales kupoteza matumaini ya kutinga fainali.

Lakini , Coleman amesema Bale hakuwa katika hali nzuri baada ya kukabiliwa na majeraha na hakuwepo katika mchezo huo.

Wales results under Coleman

  • Mexico 2-0 Wales (friendly)
  • Wales 0-2 Bosnia-Herzegovina (friendly)
  • Wales 0-2 Belgium (WCQ)
  • Serbia 6-1 Wales (WCQ)
  • Wales 2-1 Scotland (WCQ)
  • Croatia 2-0 Wales (WCQ)
  • Wales 2-1 Austria (friendly)
  • Scotland 1-2 Wales (WCQ)
  • Wales 1-2 Croatia (WCQ)
  • Wales 0-0 Rep of Ireland (friendly)
  • Macedonia 2-1 Wales (WCQ)

No comments:

Post a Comment