KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, September 9, 2013

NAHODHA WA EVERTON PHIL JAGIELKA AKERWA NA USAJILI WA DAKIKA ZA MAJERUHI WAKATI LIGI IMEANZA.

Nahodha wa Everton Phil Jagielka amejiunga kwenye kiitikio cha masauti ya wengi kutaka kwanza msimu wa usajili kumalizika kabla ya kueleka kuanza kwa msimu wa ligi.

Miongoni mwa wanaopinga hilo ni pamoja na meneja wa Liverpool Brendan Rodgers ambaye anadhani wachezaji kuwa katika mawindo ya kufukuzia vilabu vya kuhamia wakati michezo ya ufunguzi ya msimu ikiwa imekwisha kuanza kama ilivyo kuwa kwa Toffees ambao walikuwa katika jaribio la zuio la Marouane Fellaini kuelekea Manchester United kama ilivyokuwa kwa Leighton Baines.

Fellaini hatimaye akajiunga na Old Trafford katika siku ya mwisho ya kufunga usajili ambapo Jagielka analalamikia hilo.

Everton inayoshiriki ligi ya England ilikuwa katika bishara ya wachezaji wake mpaka kufikia siku ya mwisho kusaka wachezaji wakisaka huduma za akina Victor Moses, Gareth Barry na James McCarthy ambapo mlinzi huyo ameonekana kukerwa na usajili wa mwisho mwisho.

No comments:

Post a Comment