Nyota mpya wa Manchester City Fernandinho ameweka wazi kuwa alikaribia kujiunga na Chelsea kabla ya hatimaye kuelekea Etihad Stadium.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Brazil alijiunga na City akitokea Shakhtar Donetsk mwezi Juni kwa uhamisho wa pauni milioni £30.
Lakini muda mfupi baada ya kudhihirisha ubora wake katika sehemu ya kiungo Fernandinho
ameweka bayana kuwa alikaribia kujiunga na Chelsea kabla ya kujiunga na City.
‘It is a complicated story about my transfer to England,’ he said.
‘There was contact with Chelsea before City came in for me.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28 amekwisha kuichezea timu yake ya City iliyo chini ya Manuel Pellegrini jumla ya michezo 11 na anatarajiwa kuichezea timu hiyo kwa mchezo wa 12 hapo kesho dhidi ya Chelsea.
Ni mchezo ambao utaweka sura mpya katika mbio za kukimbilia taji kwa pande zote mbili.
No comments:
Post a Comment