KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, October 9, 2013

MJADALA MKUBWA WAIBUKA KATIKA UKURASA WA TWITTER BAINA WILSHERE NA WACHEZAJI WASIO WAZAWA WA ENGLAND BAADA YA WILSHERE KUTOA MAONI YA KUWAKATAA WAGENI KATIKA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND. SOMA............................

Outspoken: Jack Wilshere believes only players born in England should be allowed to represent the country
Mropokaji:Jack Wilshere.
Instant impact: Januzaj scores the first of his two goals against Sunderland on Saturday
Januzaj akifunga goli la dhidi ya Sunderland Jumamosi
 
Mwingereza Kevin Pietersen ameshukia kwa maneno makali kiungo wa Arsenal Jack Wilshere juu yan maoni yake kuwa mzaliwa wa Uingereza pekee ndiye anayepaswa kuichezea nchi hiyo.
John Fashanu mapema alitoa maneno makali juu ya kauli hiyo ya Jack Wilshere, na kumuita kiungo huyo wa Arsenal mpumbavu pale alipoandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter. 
Pieterson ambaye ni mzaliwa wa Afrika kusini huko nyuma aliwahi kupata haki ya kuichezea nchi hiyo kutokana na sheria ya ukaazi alitolea mfano wa mchezaji wa Cricket na Golf Justin Rose,na mshindi wa michezo ya Tour de France Chris Froome, na mshindi mara mbili wa Olympic Mo Farah, ambao wote hawakuzaliwa ndani ya nchi hiyo.
Pietersen kupitia Twitter ameandika: 'Jack Wilshere - interested to know how you define foreigner...? Would that include me, Strauss, Trott, Prior, Justin Rose, Froome, Mo Farah?'

Wilshere baadaye kidogo akajibu:
 'With all due respect Mr Pietersen the question was about football! Cricket, cycling, athletics is not my field!'
But Pietersen was not satisfied, saying: 'Same difference.. It's about representing your country! IN ANY SPORT!'

Wilshere amenukiliwa akiongea hayo baada ya meneja wa England  Roy Hodgson kuelekezea kuwa FA inamtaka nyota kinda wa Manchester United Adnan Januzaj, ambaye ni mzaliwa wa Belgium lakini anasifa ya kuchezea nchi kadhaa apewe nafasi katika kikosi cha nyota watatu (Three Lions).  
Mwa mujibu wa sheria za FIFA zinasema Januzaj, 18, anapaswa kuishi England kwa angalau miaka mitano ili aweze kufuzu kuichezea nchi hiyo.
Glory: Kevin Pietersen kisses the Ashes urn after England sealed a series victory over Australia last summer
Shujaa: Kevin Pietersen akibusu tuzo ya baada y kushinda mchezo wa Cricket msimu wa kiangazi nchini Australia
Master blaster: Pietersen hits out against Australia in the Ashes last summer
Pietersen

Majibishano kupitia twitter baina ya wawili hao.
 
Pietersen v Wilshere: How the Twitter spat unfolded between the cricketer and the footballer

Pietersen v Wilshere
 Wilshere: 'kuweka sawa juu ya jambo hili ... sikuwa namaanisha Janujaz.
'Swali lilikuwa ni kama wageni wataruhusiwa kuichezea  England, na kwa maoni yangu ni kwamba sioni hivyo!
'Ni mchezaji mkubwa ningependa kama angekuwa Mwingereza!'

National pride: Wilshere in training at St George's park with the England squad this week
Mjivuno ya utaifa : Wilshere akiwa mazoezini St George's park pamoja na wachezaji wengine wa England wiki hii.

National pride: Wilshere in training at St George's park with the England squad this week
Majibu ya Wilshere: 'No, for me if you are English you are English and you play for England. The only people who should play for England are English people. If you live in England for five years it doesn’t make you English. You shouldn’t play... it doesn’t mean you can play for a country. If I went to Spain and lived there for five years I am not going to play for Spain.'

Mshambuliaji wa zamani wa Wimbledon na  England Fashanu alitoa maneno makali kuelekea kwa Wilshere hii leo akisema kupitia 
'You're right. You wouldn't get near the squad.'

John Fashanu
John Fashanu enzi zake akiwa na Wimbledon na England (pichani chini kulia)
John Fashanu
John Fashanu
Sticking the boot in: Fashanu's tweets over Wilshere
Sticking the boot in: Fashanu's tweets over Wilshere
Sticking the boot in: Fashanu's tweets over Wilshere

No comments:

Post a Comment