Say cheese: Caroline Wozniacki takes a photo while at Liverpool v West Brom on Saturday |
Mchezaji nyota nambari moja wa mchezo wa tennis Caroline Wozniacki alikuwepo jukwaani Anfield hii leo Jumamosi akiuangalia mchezo wa soka baina ya Liverpool wakikabilina na West Brom.
Taarifa zinasema kuwa ni shabiki mkubwa wa Liverpool na alikuwa akirejea akitokea Istanbul Uturuki ambako alikuwa akishiriki michezo ya TEB BNP Paribas WTA Championships.
Wozniacki
ameonekana akiwa jukwaani akiwa na rafiki yake wakifurahia wakati Luis Suarez akipiga bao mbili mapema.
McIlroy ameweka picha kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya kushinda taji lake la kwanza la WTA mapema wiki hii kwa ushindi wa moja kwa moja dhidi ya Annika Beck katika Luxembourg Open.
No comments:
Post a Comment