Mshambuliaji wa Barcelona Neymar da Silva Santos Júnior amesema alipewa mkanda wa mlinzi hivyo alijua ni jinsi gani ya kuepuka usumbufu wa walinzi.
Neymar,
21, huenda akawepo kikosini katika Clasico ya Jumamosi na huenda akakabiliana na mlinzi wa kati wa Madrid ambaye alikabiliana naye mwezi Septemba katika mchezo wa kirafiki baina ya Brazil na Ureno ambao Brazil maarufu kama Selecao walishinda kwa mabao 3-1.
Lakini mshambuliaji huyo amesema haitampa shida kwani anajua ni namna gani ya kukabiliana na uchezaji wa soka la Kireno baada ya kupewa rekodi kabla ya mchezo wa kiarafiki ambao ulipelekwa na shirikisho la soka la Brazil(CBF).
Amekaririwa na Global TV akisema

“They
sent me a video and they also sent one to [fellow Brazil international]
Thiago Silva so that we didn’t get provoked,"
Neymar amefunga mabao mawili ndani ya michezo nane aliyoitumikia Barcelona msimu huu.
No comments:
Post a Comment