KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, October 19, 2013

SAMWELI ETO'O NA MESUT OZIL WATOA MIKOSI YA MAGOLI.


Mesut Ozil scored amefunga goli lake la kwanza katika soka nchini England na kuipa klabu yake ya Arsenal ushindi dhidi ya Norwich na kurejea katika usukami wa msimamo wa ligi ya ya nchi hiyo maarufu kama Premier League table.
rekodi ya Ozil ndani wa washika mitutu limeisaidia timu yake kupata bao la pili la utangulizi baada ya Jack Wilshere kutangulia kufunga goli atika mchezo uliopigwa katika dimba la Emirates.

Jonny Howson aliifungia goli Norwich katika kipindi cha pili lakini  Aaron Ramsey na baadaye tena Ozil akifunga goli lingine la pili kwa upande wake lakini likiwa ni goli la nne kwa Arsenal .
Samuel Eto’o
Kwingineko Samuel Eto’o amefanikiwa kufunga goli lake la kwanza na kuisadia Chelsea kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Cardiff .
Jordan Mutch aliwapa wageni bao la utangulizi kabla ya Eden Hazard kusawazisha. Eto’o baadaye akaandika bao la pili na kufanya matokeo kusomeka 2-1 kabla ya Oscar na Hazard kukamilisha ushindi huo wa mabao 4-1.
Manchester United kwa mara nyingine tena kuharibu kutoka kwa vilabu vya London baada ya kupoteza alama nyingine mbili muhimu dhidi ya Southampton.
Robin van Persie aliwapa uongozi United lakini Southampton maarufu kama Saints, hwakukata tamaa na kufanikiwa kusawazisha kupitia kwa Dejan Lovren kulazimisha wakati wa kona.
Steven Pienaar ameonyesha umuhimu wake baada ya kurejea katika klabu ya Everton baada ya kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Hull City kule Merseyside.
Kevin Mirallas aliwapa uongozi Toffees kabla ya Yannick Sagbo kusawazisha lakini Pienaar akifunga goli muhimu la pili.
Gus Poyet amejikuta katika ndoto za alinacha za kuipa mafanikio klabu yake ya Sunderland kufuaatia kichapo kutoka kwa  Swansea cha mabao 4-0 mchezo uliopigwa Liberty Stadium.
Jonathan de Guzman, Wilfried Bony, Chico na bao la kujifunga la  Phil Bardsley yamewalaza hoi hii leo.
Na hatimaye  Stoke imekwenda suluhu dhidi ya West Brom

No comments:

Post a Comment