Jose Mourinho na Manuel Pellegrini wako katika matayarisho ya kuingia katika mchezo mkubwa hiyo kesho ukiwa ni mchezo wa ligi kuu nchini England
(Premier League) kwa mara ya kwanza mchezo ambao Chelsea watakuwa wakiwakaribisha Manchester
City Stamford Bridge.
Vilabu vyote viko katika tahadhari kubwa huku wakiwa katika kipindi kizuri cha mafanikio katika soka la Ulaya baada ya matokeo mazuri ya michezo ya ya vilabu barani Ulaya katika mwa juma.
Mourinho na Pellegrini walikutana kwa kukabiliana kisoka wakati wakiwa makocha katika vilabu vya Real Madrid na Mallaga.
No comments:
Post a Comment