KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, November 25, 2013

Meneja wa Celtic Neil Lennon anasema hatawadharau Milan. Joe Hart kucheza dhidi ya Plzen.

Meneja waCeltic Neil Lennon anasema hatawadharau Milan.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE GROUP H: CELTIC V AC MILAN

  • Venue: Celtic Park
  • Date: Tuesday, 26 November
  • Kick-off: 19:45 GMT
Celtic haitakiwi kuwadharau wapinzani wao wageni walio nje ya kiwango AC Milan hiyo kesho Jumanne katika mchezo wao wa ligi ya mabingwa Ulaya hii ikiwa ni kauli ya meneja wa Celtic Neil Lennon.
Milan imeshinda mchezo moja tu katika jumla ya michezo 13 ya ligi kuu ya soka nchini Italia 'Serie A'msimu huu lakini Lennon anaonya juu ya hali hiyo.
Anasema.
Kufuzu kutoka katika kundi hili itakuwa ni mafanikio ukilinganisha na msimu uliopita
Bingwa huyo wa Uscochi wako katika mkia wa kundi H, na ushindi dhidi ya wataliaono hao utarejesha matumaini yao ya kutinga hatua ya 16 bora. 
Lennon anaebdelea kusema
"kama kuna mtu anafikiri tunawadharau nadhani afikiri tena"
 
Celtic ilifungwa na Milan katika dimba la San Siro katika mchezo wa ufunguzi wa kampeni na pia walifungwa na Ajax pamoja na Barcelona.
Lennon amekipa changamoto kikosi chake ili kuweza kutoa mwanga mpya wa ushindi dhidi ya Ajax kurejea matumaini baada ya sikukuu ya Christmas.

Manchester City: Joe Hart kusalia kwa mchezo wa Champions League

  • Venue: Etihad Stadium
  • Date: Wednesday, 27 November
  • Kick-off: 19:45 GMT
Mlinda mlango Joe Hart ataanza katika kikosi cha Manchester City dhidi ya Viktoria Plzen Jumatano anasema bosi wa City, Manuel Pellegrini.
Mlinda mlango huyo namba moja wa England Hart hajaitumikia City tangu aliposaidiwa na Costel Pantilimon katika mchezo wa ligi ya Premier dhidi ya Norwich Novemba 2
Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 26 hakucheza katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Chile lakini alifanya vema katika mchezo dhidi ya Ujerumani wiki iliyopita.
City tayari imefuzu hatua ya 16 bora ya Champions League.

Hart alipoteza mwelekeo kutokana na makosa mengi katika mchezo dhidi ya Bayern Munich mwezi uliopita na katika mchezo wa ushindi wa England dhidi ya Scotland uwanja wa Wembley mwezi Agosti.
Pellegrini alimshusha baada ya City kupoteza 2-1 dhidi ya Chelsea katika dimba la Stamford Bridge mwishoni mwa mwezi uliopita.

No comments:

Post a Comment