KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, December 31, 2013

Baada ya kumtimua Ernie Brandts Yanga sasa Siwa na Minziro nao wafungishwa virago

Baada ya kumfuta kazi aliyekuwa kocha wake mkuu Ernie Brandts, klabu ya Yanga imelimaliza benchi lote la ufundi kwa kulifuta kazi ambapo hii leo imewakabidhi rasmi aliyekuwa kocha msaidizi mlinzi wa pembeni wa klabu hiyo Freddy Felix Minziro na aliyekuwa kocha wa makipa raia wa Kenya Razaki Siwa.
Taarifa za hivi punde zimeaarifu kuwa makocha hao wamefutwa kazi kutokana na sababu zilezile zilizomfuta kazi Ernie Brandts na kwamba kwasasa uongozi wa klabi hiyo inakamilisha mipango ya kupata kocha mkuu mpya huku kocha wa zamani wa AFC Leopard ya Kenya Luc Eymael akitajwa kuwa ni miongoni mwa makocha wanatupiwa macho na mabingwa hao wa soka Tanzania bara.
 Tayari Yanga imeshakwisha muajiri kocha Charles Bonface Mkwasa ambaye pia ni kiungo wa zamani wa klabu hiyo, ambaye amepewa jukumu la Minziro la kuwa kocha msaidizi. Kabla ya uteuzi wake Bonface alikuwa kocha mkuu wa Ruvu Shooting ya Pwani.

Kiungo wa timu ya taifa ya Ureno Carvalho kumaliza tatizo la kiungo cha United.

Carvalho amekuwa akitazamwa na United katika matukio kadhaa msimu huu
Manchester United wanafikiria kudaka saini ya kiungo wa Sporting Lisbon William Carvalho katika jaribio la muendelezo wa mpango wao wa kusaka mchezaji wa kuziba pengo.
United imekua ikisaka kiungo mkabaji katika viwanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfuatialia katika mchezo uliomalizika kwa suluhu ya 0-0 baina ya Sporting dhidi ya Porto Jumapili, hii ikiwa ni kwa mujibu wa A Bola.
Taarifa nchini Ureno zinaarifu kuwa United imekuwa ikimfuatialia mchezaji huyo katika michezo saba tofauti katika nusu ya kwanza ya kampeni ya ligi ya Ureno wakati huu ambapo David Moyes anasaka nyongeza katika kuongeza uwezo wa kikosi chake katika sehemu ya kiungo.

In the middle: Carvalho has a release clause of around £37.5million, though United may look for a cheaper deal
Carvalho huenda akavunjiwa mkataba wake kwa karibu pauni milioni £37 ingawa United itataka mchezaji wa bei ya chini zaidi ya hiyo.

Carvalho mwenye umri wa miaka 21, alianza kwa mara ya kwanza kuichezea Ureno kimataifa katika michezo ya kuwania kufuzu kombe la dunia dhidi ya Sweden mwezi Novemba na anatazamiwa kupata nafasi katika kikosi cha Paulo Bento katika michuano ya kombe la dunia nchini Brazil.

Mkataba wake unatarajiwa kumalizika 2018 na anaelewa juu ya uwezekano wa kuvunjwa kwa mkataba wake kwa pauni milioni £37 ingawa United ina matumaini ya kufanya mazungumzo ya kupunguziwa bei ya mchezaji huyo. 

Inaamika kuwa meneja wa United angependa kuongeza wachezaji wawili wa kiungo.
On the lookout: Moyes insists he will look to bring players to United in the January transfer window

Yanga yajitoa kombe la mapinduzi Ashant United kuchukua nafasi yake


Taarifa zinaeleza kuwa huenda Ashant United ikaelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuthibitika kuwa mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga imejitoa kushiriki michuano hiyo. Taarifa za awali zinaeleza kuwa Yanga imeshindwa kuafikiana na waandaaji wa michuano hiyo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa waandaaji wameshindwa kuwatumia barua rasmi ya ushiriki wao pamoja na maelezo ya kutosha juu ya malazi na makazi wakati wote wa mashindano.
Taarifa za hivi karibu zinaeleza kuwa kamati ya maandalizi inafanya mawasiliano na klabu ya Ashanti United ya Ilala jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuziba nafasi ya Yanga wakati huu ambapo michuano hiyo imepangwa kuanza kutimu vumbi hapo kesho.
Yanga ilikuwa imepangwa katika kundi C pamoja na Mabingwa watetezi wa michuano hiyo Azam FC pamoja na makamu bingwa Tusker ya Kenya na Unguja Combine.
 Kwa mujibu wa ratiba ya michuano hiyo, pazia la michuano hiyo litafunguliwa kwa mechi mbili za kundi B katika uwanja wa Amaan, ambapo wakati wa saa 10:00 jioni ni mabaharia wa KMKM dhidi ya Kampala City Council (KCC) ya Uganda . Aidha saa 2:00 usiku, wekundu wa Msimbazi Simba SC, watakuwa kibaruani dhidi ya AFC Leopards. Januari 2, 2014, kutakuwa na mechi nne, katika kila uwanja, kati ya Amaan Unguja na  Gombani Pemba, kutakuwa na michezo miwili. Zile za Amaan, ni kati ya Azam FC na Unguja Combine (saa 10:00 jioni) na Yanga( Ashanti) dhidi ya Tusker itakayorindima kuanzia saa 2:00 usiku, na huko Gombani shughuli itakuwa kati ya URA na Chuoni (kundi C) watakaovaana saa 8:00 mchana, huku Mbeya City ikitoana jasho na Pemba Combine, saa 10:00 jioni katika mchezo wa kundi A. Fainali ya ngarambe hizo itapigwa uwanja Amaan Januari 12 wakati wa saa 2:00 usiku, ambayo ndiyo kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mchezaji afanya mazoezi akiwa na sketi nchini Uskochi ni kituko cha kufunga mwaka. Bofya na usome stori.

Partick Thistle huenda ikawa ni klabu ambayo inapokuwa uwanjani haina la kushangaza lakini huku nyuma ya pazia inapokuwa katika uwanja wake wa mazoezi vituko ni sehemu ya kufurahisha ndani ya  klabu hiyo ya Uskochi.
Kiungo Gary Fraser mwenye umri wa miaka 19 akiwa mazoezini alivalia kivazi cha kufungia mwaka cha rangi ya pinki ambacho kimeunganishwa na sketi iliyokuwa katika rangi moja.

Embarrassed: Fraser is currently on loan at the Scottish side from Bolton Wanderers
Fraser kwasasa yuko kwa mkopo katika klabu ya Bolton Wandarers ya Uskochi.

Inadhaniwa kuwa Fraser alivalia kivazi hicho akijitofautisha na wenzake kutokana na kwamba alikuwa mkosefu licha ya kwamba alipokea madharau kutoka kwa wenzake huku wengine wakidhihaki vazi lake.
Fraser bado yuko kwa mkopo katika klabu hiyo akitokea katika klabu ya Bolton Wanderers, na alikumbana na adhabu ya kusimama michezo nane baada ya kushambuliana na mchezaji mwenzake wa Under-20 katika mchezo dhidi ya Dunfermline.
Fraser anarejea kutoka kifungoni siku ya mwaka mpya ambapo watakuwa wakielekea kucheza dhidi ya Celtic, na inadhaniwa kuwa Thistle huenda akaongeza kipindi chake cha mkopo mpaka mwisho wa msimu.
Kitu kizuri kwa Fraser ni kwamab angalau katika kivazi chake hicho mguuni alivalia viatu vyeusi tofauti na hali ilivyo siku hizi hususani katika soka la England ambapo wachezaji wamekuwa na tabia ya kuvaa viatu vya marangi mengi.
Back: Fraser wore the pink morph suit with a tutu on New Year's Eve, a day before he returns from a ban
Laughing stock: Fraser didn't look too pleased with the attire
Come here: Fraser is consolded by James Craigen during a training session

Begani akilia: Fraser akifarijiwa na mchezaji mwenzake James Craigen (kushoto) wakati wa mazoezi


Return: Fraser (right) was banned after attacking an opponent in an Under-20 fixture against Dunfermline
Fraser (kulia) alifungiwa kwa mchezo mbaya wa michuano ya Under-20 dhidi ya Dunfermline

JAMIE REDKNAPP anasema kubadilishana jezi kwa Samwel Etoo na Mamadou Sakho mapumziko kilikuwa kichekesho anasema maliza kazi kwanza halafu..........


I can't be too hard on the Liverpool and Chelsea players who swapped shirts as they left the field at the break. I once asked Zinedine Zidane as we came back on after half-time if I could have his shirt at the end of a game.
But at least it was the end of the game before I got his shirt. Finish the job, then swap shirts. Anything else just looks ridiculous and I’m sure the players involved won’t be doing it again.
The Zidane shirt takes pride of place in my garage now, because my wife Louise won’t let me have the shirts up in the house. She prefers her fine art and it’s never something we’ve done. Everyone is different. I don’t have my caps or trophies on display, either. My wife sold millions of records and had singles that went platinum, but we’d rather have pictures of the kids. Although, I might have a sneaky look when I go into the garage, because I am very proud of what I achieved.

Really? Samuel Eto'o (left) and Mamadou Sakho (right) change shirts at half-time at Stamford Bridge
Really? Samuel Eto'o (left) and Mamadou Sakho (right) change shirts at half-time at Stamford Bridge
Spotted: Coutinho and Oscar (circled) were also prematurely swapping their jerseys
Spotted: Coutinho and Oscar (circled) were also prematurely swapping their jerseys
Early on: Chelsea's Eto'o and Sakho of Liverpool had a further 45 minutes on the clock
Early on: Chelsea's Eto'o and Sakho of Liverpool had a further 45 minutes on the clock
 
Say cheese: Jamie and Louise pose for cameras at the Mo Farah Foundation fundraising ball in September 2012
She's a hit: Louise performing in Edinburgh back in 2002

Then and now: Louise performs in Edinburgh in 2002 (left) and poses with husband Jamie in 2012 (right)

I played well in the first half against Zidane but after half-time of the England v France game, the closest I got to him was when we swapped shirts!
A few other shirts I collected in my career are in a cupboard: Thierry Henry, Alan Shearer and Steven Gerrard among them. I had one of Martin Keown’s once but used that to clean the car (only joking, Martin).
I would have asked Ryan Giggs for his, but it wasn’t acceptable to swap with Manchester United players when I was at Liverpool. And they were the same. I’m pretty sure that is still the case now.
It’s not really a modern trend. My dad had shirts from his time playing in America and he had a signed ball from a game against Pele. When I asked him where it was, he said he had given it away for a good cause. It would have been nice to have kept it for the grandchildren.
Treasured memory: Jamie Redknapp as Liverpool captain
Happy families: Jamie Redknapp (right) swaps shirts with his cousin Frank Lampard after playing for Spurs against Chelsea in 2004

Happy families: Jamie Redknapp (top left, right) swaps shirts with his cousin, Frank Lampard, after playing for Spurs against Chelsea in 2004, and wearing the armband as captain of Liverpool in 1999 (right)

Friendly rivalry: Sportsmail's Martin Keown (left) and Redknapp swap shirts with Hungary players in 1999
Friendly rivalry: Sportsmail's Martin Keown (left) and Redknapp swap shirts with Hungary players in 1999

Game to remember: Redknapp in action for England against France's Zinedine Zidane (left) and Emmanuel Petit at Wembley in 1999. Les Bleus won the game 2-0 thanks to a brace from Nicolas Anelka
Game to remember: Redknapp in action for England against France's Zinedine Zidane (left) and Emmanuel Petit at Wembley in 1999. Les Bleus won the game 2-0 thanks to a brace from Nicolas Anelka

The players involved at Stamford Bridge will think they have done nothing wrong. Now players take off their shirts and replace them with clean ones at half-time, or some change a full kit. They would have been thinking: ‘I am taking it off anyway, so what’s wrong with swapping it now?’
But even that used to be banned at Spurs, where players would be made to pay for a replacement kit.
Signed shirts are donated to charity, such as the Barclays Premier League strips with poppies for Remembrance Sunday. Others are put up for auction.
Bad move: Andre Santos swapped shirts with former Arsenal star Robin van Persie at half-time last season
Bad move: Andre Santos swapped shirts with former Arsenal star Robin van Persie at half-time last season
Bit early: AC Milan's Robinho and Barcelona's Neymar swapped shirts at the interval of AC Milan v Barcelona
Bit early: Robinho (left) and Neymar (right) swapped shirts at the interval of AC Milan v Barcelona

Some autograph hunters collect and then sell signed shirts. I see that today on Ebay a Jamie Redknapp signed Liverpool shirt is up for bids at £69.99…
My most treasured shirt was my first game as captain of Liverpool. It was against Sheffield Wednesday and I had it framed with the armband. But when I moved house, it was stolen. The thieves stole the framed Jamie Redknapp shirt, but not the frame Zidane shirt! I’d love it back, but all I can say is that the thief obviously didn’t know much about football, did he?
PS: If anyone knows where it might be, please send it back. There is only one game when you are captain of Liverpool for the first time.

MIPANGO YA UHAMISHO WA WACHEZAJI MWEZI JANUARI NCHINI ENGLAND NI KAMA IFUATAVYO SOMA. BOFYA ZAIDI NA USOME........

Je Morata ataelekea London ya kaskazini? Na je Man United finally itafanikiwa kupata saini ya Reus? Na vipi kuhusu Diego Costa atavushwa na daraja kuelekea Stamford kwa Mourinho? Je unataka kujua zaidi juu ya mipango ya uhamisho ya klabu yako uhamisho wa Januari? Fuatilia kupotia Rockersports.

  • Man United mbioni kusajili nyota wa Borussia Dortmund Marco Reus
  • Arsenal na Spurs vitani kudaka Alvaro Morata toka Real Madrid
  • Diego Costa huenda akageukia Chelsea endapo klabu hiyo ya London itafikia pauni milioni £32
  • Man City mawindoni kunasa saiani ya mlinda mlango huku Diego Alves akiongoza orodha.
  • Liverpool inataka kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji wakimtamani zaodi Mohamed Salah wa Basle.
  •  
  • Tuanzie hapa kwa kila klabu na mpango wake wa mwezi Januari(STR ni mshambuliaji, DEF ni mlinzi, MID ni kiungo na GK ni mlinda mlango)
ARSENAL
TOP TARGET: Alvaro Morata (STR, Real Madrid, loan)
ON THE RADAR: Dusan Basta (DEF, Udinese) Diego Costa (STR,  Atletico Madrid), Michy Batshuayi (STR, Standard Liege), Gianelli Imbula (MID, Marseille), Marc-Andre ter Stegen (GK, Borussia Monchengladbach)
COULD LEAVE: Lukasz Fabianski, Thomas Vermaelen, Serge Gnabry (loan)
Top target: Arsenal are keen on a loan move for Real Madrid striker Alvaro Morata (right)
Top target: Arsenal are keen on a loan move for Real Madrid striker Alvaro Morata (right)
 
ASTON VILLA
TOP TARGET: Jurgen Locadia (STR, PSV, £8m)
ON THE RADAR: John Guidetti (STR, Man City, loan), Simeon Slavchev (MID, Litex Lovech), Wilfried Zaha (MID, Man Utd, loan)
OUT: Christian Benteke, Shay Given, Stephen Ireland, Yacouba Sylla (loan)
 
CARDIFF CITY
TOP TARGET: Nick Powell (MID, Man Utd, loan)
ON THE RADAR: Wilfried Zaha (Man Utd, loan), Isaac Cuenca (STR, Barcelona, loan), Andy Robertson (DEF, Dundee Utd)
COULD LEAVE: John Brayford, Joe Mason
Loan ranger? Wilfried Zaha could be loaned out in January
Rising star: Manchester United's Nick Powell is playing on loan at Wigan currently

Loan rangers? Man United's Wilfried Zaha (right) and Nick Powell are on the radar of Cardiff City in January
 
CHELSEA
TOP TARGET: Diego Costa (STR, Atletico Madrid, £32m)
ON THE RADAR: Edinson Cavani (STR, PSG), Radamel Falcao (STR, Monaco), Fredy Guarin (MID, Inter Milan), Nemanja Matic (MID, Benfica), Gianelli Imbula (MID, Marseille), Kurt Zouma (DEF, St Etienne), Luke Shaw (DEF, Southampton) 
COULD LEAVE: Demba Ba, Kevin de Bruyne, Ryan Bertrand, Michael Essien
Lethal: Diego Costa (left) has dazzled at Atletico Madrid this season since Falcao's departure in the summer
Lethal: Diego Costa (left) has dazzled at Atletico Madrid this season since Falcao's departure in the summer
Limited opportunities: Kevin de Bruyne may be eyeing a move away from Stamford Bridge
Frozen out? Demba Ba may leave Chelsea this window

Limited chances: Demba Ba (left) and Kevin de Bruyne (right) may look to leave Stamford Bridge
 
CRYSTAL PALACE
TOP TARGET: Nikica Jelavic (STR, Everton, £5m)
ON THE RADAR: Peter Crouch (STR, Stoke), Matthew Etherington (MID, Stoke), Emmanuel Riviere (STR,  Monaco), Scott Dann (DEF, Blackburn), Ali Al-Habsi (GK, Wigan).
COULD LEAVE: Kevin Phillips, Dwight Gayle (loan), Florian Marange, Elliot Grandin, Neil Alexander, Owen Garvan
Second fiddle: Nikica Jelavic (right) is struggling for opportunities at Everton behind loan star Romelu Lukaku
Second fiddle: Nikica Jelavic (right) is struggling for opportunities at Everton behind loan star Romelu Lukaku
 
EVERTON
TOP TARGET: Michy Batshuayi (STR, Standard Liege, £8m)
ON THE RADAR: Alfred Finnbogason (STR, Heerenveen), Aiden McGeady (MID, Spartak), Andy Robertson (Dundee Utd), John Souttar (DEF, Dundee Utd), Bruno Martins Indi (DEF, Feyenoord), Curtis Davies (DEF, Hull)
COULD LEAVE: Nikica Jelavic, John Heitinga 
Star turn: Standard Liege striker Michy Batshuayi could bolster Everton's attacking options
Star turn: Standard Liege striker Michy Batshuayi could bolster Everton's attacking options
FULHAM
TOP TARGET: Zakaria Labyad (MID, Sporting CP, £3m)
ON THE RADAR: Paolo Hurtado (MID, Pacos de Ferreira), Benjamin Angoua, (DEF, Valenciennes), Nicolas Isimat-Mirin (DEF, Monaco), Josh Brownhill (MID, Preston)
COULD LEAVE: Dimitar Berbatov, Adel Taarabt, Fernando Amorebieta
Languid: Dimitar Berbatov (right) could be set to depart Craven Cottage before the end of the season
Languid: Dimitar Berbatov (right) could be set to depart Craven Cottage before the end of the season
 
HULL CITY
TOP TARGET: Shane Long (STR, WBA, £4m)
ON THE RADAR: Georgios Samaras (STR, Celtic), Nick Powell (Man Utd, loan), Filip Djordjevic (STR, Nantes), Jordan Ayew (STR, Marseille), Nordin Amrabat (MID, Galatasaray), Rami Rabia (DEF, Al Ahly)
COULD LEAVE: Cameron Stewart, Matty Fryatt
Cutting edge: Shane Long is top of Steve Bruce's most-wanted list in January
Cutting edge: Shane Long is top of Steve Bruce's most-wanted list in January
 
LIVERPOOL
TOP TARGET: Mohamed Salah (MID, Basle, £12m)
ON THE RADAR: Ivan Rakitic (MID, Sevilla) Dennis Aogo (DEF, Hamburg), Martin Montoya (DEF, Barcelona), Will Hughes (MID, Derby), Ryan Bertrand (DEF, Chelsea)
COULD LEAVE: Iago Aspas, Luis Alberto (loan), Daniel Agger
 
MANCHESTER CITY
TOP TARGET: Diego Alves (GK, Valencia, £6m)
ON THE RADAR: Willy Caballero (GK, Malaga), Bruno Zuculini (MID, Racing Club), Eliaquim Mangala (DEF, Porto)
COULD LEAVE: Joleon Lescott, John Guidetti (loan)
Case for the defence: Eliaquim Mangala is also on City's wanted list
Available? Diego Alves may be drafted in at the Etihad to add depth in the goalkeeping position

Case for the defence: Diego Alves (left) and Eliaquim Mangala (right) are both being watched by Man City

Outbound: John Guidetti may leave Manchester City on loan
Hot property: Mohamed Salah of Basle could be on his way to Liverpool

Coming or going? Mohamed Salah (left) has attracted the attention of Liverpool while at Basle as Manchester City's highly-rated Swedish striker John Guidetti (right) could be leaving the Etihad in a loan move this window
 
MANCHESTER UNITED
TOP TARGET: Marco Reus  (MID, Borussia Dortmund, £40m)
ON THE RADAR: Luka Modric (MID, Real Madrid), Lars Bender (MID, Bayer Leverkusen), Alex Song (MID, Barcelona), Yohan Cabaye (MID, Newcastle), Fabio Coentrao (DEF, Real Madrid), William Carvalho (MID, Sporting Lisbon)
COULD LEAVE: Wilfried Zaha, Nick Powell, Will Keane (all loan), Alex Buttner 
 
NEWCASTLE UNITED
TOP TARGET: Bafetimbi Gomis (STR, Lyon £5m)
ON THE RADAR: Wilfried Zaha (Man Utd), Aiden McGeady (Spartak)
COULD LEAVE: Papiss Cisse, Yohan Cabaye
Second string: Alex Song is struggling for game time at Barcelona
Composed: Yohan Cabaye is an option for United's light midfield

Maestros: Yohan Cabaye (left) and Alex Song (right) may be options in Manchester United's midfield

Talent: Marco Reus would add flair and more goals to the champions' strikeforce
Talent: Marco Reus would add flair and more goals to the champions' strikeforce
 
NORWICH CITY
TOP TARGET: Mikael Boman (STR, Halmstad, £4m)
ON THE RADAR: Nick Powell, Wilfried Zaha (both Man Utd, both loan), Ola Toivonen (MID, PSV), John Heitinga (DEF, Everton)
COULD LEAVE: Luciano Becchio
New chapter? Sweden forward Ola Toivonen (right) has been at PSV Eindhoven since 2009
New chapter? Sweden forward Ola Toivonen (right) has been at PSV Eindhoven since 2009
STOKE CITY
TOP TARGET: John Guidetti (STR, Man City, loan)
ON THE RADAR: Mame Biram Diouf (STR, Hannover), Adrian Ramos (STR, Hertha Berlin), Luuk de Jong (STR, Borussia Monchengldabach), Youssef Al Arabi (STR, Granada), Nick Powell, Wilfried Zaha (both Man Utd, loan)
COULD LEAVE: Kenwyne Jones, Peter Crouch, Matthew Etherington
 
SOUTHAMPTON
TOP TARGET: Shay Given (GK, Aston Villa, £250k)
ON THE RADAR: Julio Cesar (GK, QPR), Carlos Vela (STR, Real Sociedad), Jonathan Pitroipa (MID, Rennes), Davide Astori (DEF, Cagliari)
COULD LEAVE: Gaston Ramirez, Luke Shaw
Still got it: Shay Given may be handed the chance of Premier League football again with Southampton
Still got it: Shay Given may be handed the chance of Premier League football again with Southampton
 
SUNDERLAND
TOP TARGET: Liam Bridcutt (MID, Brighton, £5m)
ON THE RADAR: Julio Cesar (QPR), Jeroen Zoet (GK, PSV), Kyle Naughton (DEF, Tottenham),  Paolo Hurtado (Pacos de Ferreira), John Guidetti (Man City, loan)
COULD LEAVE: Ji Dong Won, Jack Colback, Carlos Cuellar, Andreas Dossena, Craig Gardner, Seb Larsson, David Vaughan, Cabral, Charis Mavrias, Valentin Roberge, El Hadji Ba, David Moberg-Karlsson
 
SWANSEA CITY
TOP TARGET: Shay Given (GK, Aston Villa, £250k)
ON THE RADAR: Nick Powell (Man Utd, loan), Tom Ince (MID, Blackpool), Iago Aspas (STR, Liverpool), Ayoze Perez (STR, Tenerife), John Guidetti (Man City, loan), Kenwyne Jones (STR, Stoke)
COULD LEAVE: Ashley Williams
Already? Iago Aspas only signed for Liverpool last summer, but has yet to make an impact
Main man: It may be difficult to lure Liam Bridcutt away from Brighton mid season

Main man: It may be difficult to lure Liam Bridcutt away from Brighton mid season and Liverpool may want to hold on to Iago Aspas (right), who they only brought in last summer
 
TOTTENHAM
TOP TARGET: Alvaro Morata (STR, Real Madrid loan)
ON THE RADAR: Tom Ince (Blackpool), Christian Benteke (STR, Aston Villa), Marco Borriello (STR, Roma), Alex Buttner (DEF, Man Utd)
COULD LEAVE: Kyle Naughton, Jermain Defoe
On his way? Jermain Defoe has been heavily linked with a move to MLS side Toronto FC
On his way? Jermain Defoe has been heavily linked with a move to MLS side Toronto FC
Goal threat: Tom Ince may be looking for a move to the Premier League after impressing at Blackpool
Star quality: But would Christian Benteke be a good fit for the revamped Tottenham team?

Having a look: Christian Benteke (left) and Tom Ince (right) are being tracked by Tottenham
 
WEST BROMWICH ALBION

TOP TARGET: Joe Mason (STR, Cardiff, £1m)

ON THE RADAR: Wilfried Zaha (Man Utd, loan), Ryan Bertrand (DEF, Chelsea)

COULD LEAVE: Nicolas Anelka, Markus Rosenberg, Graham Dorrans
 
WEST HAM UNITED
TOP TARGET: Nikica Jelavic (STR, Everton, £5m)
ON THE RADAR: John Guidetti (Man City, loan), Asamoah Gyan (STR, Al Ain), Obafemi Martins (STR, Seattle), Abdoulaye Ba (DEF, Porto), Lamine Kone (DEF, Lorient), Jonas (STR, Valencia), Helder Postiga (STR, Valencia), Diego Forlan (STR, Internacional)
COULD LEAVE: Modibo Maiga, Carlton Cole
In the market: Is Valencia forward Helder Postiga the answer to West Ham's striker crisis?
In the market: Is Valencia forward Helder Postiga the answer to West Ham's striker crisis?
Outbound? Modibo Maiga celebrates his goal against West Bromwich Albion
Wheeling away: Carlton Cole hasn't been able to supply the struggling West Ham with enough goals

Shot shy: Carlton Cole (left) and Modibo Maiga (right) have scored four Premier League goals between them