KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, December 31, 2013

Kiungo wa timu ya taifa ya Ureno Carvalho kumaliza tatizo la kiungo cha United.

Carvalho amekuwa akitazamwa na United katika matukio kadhaa msimu huu
Manchester United wanafikiria kudaka saini ya kiungo wa Sporting Lisbon William Carvalho katika jaribio la muendelezo wa mpango wao wa kusaka mchezaji wa kuziba pengo.
United imekua ikisaka kiungo mkabaji katika viwanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kumfuatialia katika mchezo uliomalizika kwa suluhu ya 0-0 baina ya Sporting dhidi ya Porto Jumapili, hii ikiwa ni kwa mujibu wa A Bola.
Taarifa nchini Ureno zinaarifu kuwa United imekuwa ikimfuatialia mchezaji huyo katika michezo saba tofauti katika nusu ya kwanza ya kampeni ya ligi ya Ureno wakati huu ambapo David Moyes anasaka nyongeza katika kuongeza uwezo wa kikosi chake katika sehemu ya kiungo.

In the middle: Carvalho has a release clause of around £37.5million, though United may look for a cheaper deal
Carvalho huenda akavunjiwa mkataba wake kwa karibu pauni milioni £37 ingawa United itataka mchezaji wa bei ya chini zaidi ya hiyo.

Carvalho mwenye umri wa miaka 21, alianza kwa mara ya kwanza kuichezea Ureno kimataifa katika michezo ya kuwania kufuzu kombe la dunia dhidi ya Sweden mwezi Novemba na anatazamiwa kupata nafasi katika kikosi cha Paulo Bento katika michuano ya kombe la dunia nchini Brazil.

Mkataba wake unatarajiwa kumalizika 2018 na anaelewa juu ya uwezekano wa kuvunjwa kwa mkataba wake kwa pauni milioni £37 ingawa United ina matumaini ya kufanya mazungumzo ya kupunguziwa bei ya mchezaji huyo. 

Inaamika kuwa meneja wa United angependa kuongeza wachezaji wawili wa kiungo.
On the lookout: Moyes insists he will look to bring players to United in the January transfer window

No comments:

Post a Comment