- Capello, Hiddink na Hoddle wanachunguliwa kuchukua nafasi ya Mreno huyo
- Tim Sherwood, kwasasa ni mkurugenzi wa ufundi wa muda wa Spurs, anachukua nafasi kwa muda kuelekea mchezo wa jumatano dhidi wa michauno ya Capital One Cup dhidi ya West Ham
- Taarifa ya Spurs imesomeka makubaliano yamefikiwa baina ya Andre Villas-Boas na klabu kukatisha kazi.
KLabu ya Totternham Hotspurs imemfukuza kazi meneja wake Andre Villas-Boas kufuatia kichapo takatifu cha mabao 5-0 kutoka Liverpool mchezo uliochezwa White Hart Lane.
Bosi huyo Mreno alikuwa katika presha kwa wiki kadhaa tangu apokee kichapo cha awali cha mabao 6-0
kutoka kwa Manchester City, licha ya kujifariji kwa ushindi katika michezo dhidi ya Fulham na Sunderland.
Lakini kichapo cha nyumbani cha Jumapili ya jana kilikuwa ni cha uongozi kumtolea uvivu ambapo wameamua kumfuta kazi akiwa ndani ya mkataba wa miaka miwili.


Villas-Boas alichukua kazi baada ya mtangulizi wake Harry Redknapp kutimuliwa mwaka 2012

Taarifa zinasema kuwa Capello alikuwepo White Hart Lane jana Jumapili akifanya kazi ya TV.
USAJILI WA SPURS WAKATI WA KIANGAZI
Erik Lamela (Roma) - £30m
Vlad Chiriches (Steaua) - £8.5m
Etienne Capoue (Toulouse) - £8.6m
Nacer Chadli (Twente) - £6m
Roberto Soldado (Valencia) - £26m
Christian Eriksen (Ajax) - £11.5m
Paulinho (Corinthians) - £17m
Total: £107.6million
Vlad Chiriches (Steaua) - £8.5m
Etienne Capoue (Toulouse) - £8.6m
Nacer Chadli (Twente) - £6m
Roberto Soldado (Valencia) - £26m
Christian Eriksen (Ajax) - £11.5m
Paulinho (Corinthians) - £17m
Total: £107.6million
Levy tayari amesha orodhesha warithi wake na huenda wakafanya kazi kwa muda.
Mwenyekiti wa Spurs anaonekana kupendelea zaidi makocha wazoefu na ambao wamekuwa na 'World Cup pedigree'.
Fabio
Capello ambaye hapo jana alikuwepo White Hart Lane akitangaza na kutoa uchambuzi anatajwa huenda akawa mrithi pamoja na kocha aliye nje ya kazi kwa sasa Gus Hiddink na Glenn Hoddle ingawa si rahisi kwa Spurs kumrejesha bosi huyo wa zamani katika kazi ya umeneja.

Bosi wa zamani wa Spurs na England Glenn Hoddle
Mameneja waliopita Spurs vipindi tofauti

The best: Villas-Boas has the highest win percentage of any of the last 13 Spurs managers

NEXT TOTTENHAM MANAGER ODDS
Fabio Capello 6/4
Michael Laudrup 5/1
Glenn Hoddle 10/1
Tim Sherwood 12/1
Mauricio Pochettino 12/1
Guus Hiddink 16/1
Frank De Boer 16/1
Jurgen Klinsmann 16/1
Rudi Garcia 16/1
Roberto Mancini 25/1
Michael Laudrup 5/1
Glenn Hoddle 10/1
Tim Sherwood 12/1
Mauricio Pochettino 12/1
Guus Hiddink 16/1
Frank De Boer 16/1
Jurgen Klinsmann 16/1
Rudi Garcia 16/1
Roberto Mancini 25/1
No comments:
Post a Comment