Timu alikwa kwenye michuano ya cecafa 2013 Zambia Chipolopolo imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya 38 ya chalenji kwa ushindi wa penati 4-3 dhidi ya Burundi katika mchezo wa robo fainali iliyopigwa uwanja w manispaa ya jiji la Mombasa nchini Kenya.
Mpaka dakika tisini za mchezo huo zinamalizika hakuna aliyeuona mlango wa mwenzake na ndipo sheria ya FIFA ya mapigo ya penati ilipotumika.
Vikosi
Zambia:
Nsabata Toaster (GK), Christopher Munthali (Captain), Kabaso Chongo,
Kondwani Mtonga, Salulani Phiri, Sydney Kalume, Jistin Zulu, Felix
Katongo, Julius Situmbeko, Ronald Kampamba and Festus Ndewe.
Burundi:
Arthur Arakaza (GK), Hassan Hakizimana, Rashid Harerimana, Issa
Hakizimana, Frederic Nsabiyumva, Claude Ndarusanze, Yusuf Ndikumana,
Gael Duhayinavyi, Christopher Nduwarugira, Celestin Habonimana and Abdul
Razak Fiston.
Officials:
Dennis Batte (Center Referee), Mark Ssonko (1st Assistant), Fraser
Zakara (2nd referee), Louis Hakizimana (4th Official), Amir Hassan
(Match Commissioner), Ali Ahmed (Referees' Inspector), Rogers Mulindwa
and Badri Bakheit (Media Officers)
No comments:
Post a Comment