KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, December 8, 2013

CECAFA CHALLENGE CUP: SUDAN KUKUTANA NA MABINGWA WA AFRICA 2010 ZAMBIA.

Magoli mawili katika kila kipindi kupitia kwa mshambuliaji Nadir Eltayeb na lingine kupitia kwa kinara wa ufungaji Salah mwenye magoli manne dhidi ya Ethiopia yameiwezesha Sudan kukutana dhidi ya mabingwa wa Afrika mwaka Zambia Jumanne kwenye uwanja wa Manispaa jijini Mombasa.
Kikosi cha Sudan kilianza mchezo kikionyesha dhahirin kuwa walistahili kushinda mchezo huo tangu dakika 10 za awali za mchezo huo.

Sasa ni wazi kuwa Sudan itakutana dhidi ya Zambia katika uwanja wa manispaa katika mchezo wa nusu fainali huku wenyeji Kenya wakijipanga kukutana dhidi ya Tanzania uwanja wa Kenyatta mjini Machakos.
Michezo yote ya nusu fainali itachezwa Jumanne
Ethiopia:

Vikosi leo
Alemu Derete, Faskia Asfan (Captain), Salahadin Bargecho, Thok James, Adisalem Tesfaye, Mehary Mena, Mulualem Mesfin, Mintesnote Adante, Yousuf Yassin, Bereket Yisak and Manaye Fantu
Sudan:
Abdelrahman Ali (GK), Hamoda Bahir (Captain), Ismail Elsiddig, Elrayah Ali Maki, Amier Eltayeb, Nadir Eltayeb, Mohannand Tahir, Eltahir Elhag, Faris Abdalla and Salah Ibrahim.
Officials:
Referees; Davies Omweno (Center), Tony Kidiya (1st Assistant), Suleiman Bashir (2nd Assistant), Thierry Nkurunziza (4th Official), Masoud Attai (Match Commissioner), Bernard Mfubusa (Referees' Inspector) and Rogers Mulindwa and Badri Bakheit.

No comments:

Post a Comment