MASHINDANO YA UHURU MARATHONI YAFANA (source mzukawafungo blog)
|
MSHINDI WA KWANZA WA KIUME JAMIN IKAI KUTOKA KENYA AKISHINDA MBIO ZA UHURU MARATHONI ZA KILOMITA 42 YALIYOMALIZIKA LEO |
|
BAADHI YA WASHIRIKI WALIOKIMBIA MBIO ZA UHURU MARATHON |
|
BAADHI YA WASHIRIKI WALIOKIMBIA MBIO ZA UHURU MARATHON |
|
MSHINDI WA KWANZA
MBIO ZA KILOMITA 42 KWA UPANDE WA WANAWAKE THABITA KIBETI KUTOKA KENYA
ALIESHIRIKI MBIO ZA UHURU MARATHONI ZILIZOFANYKA LEO JIJI DAR ES SALAAM |
|
MKIMBIAJI
WA MBIO ZA UHURU MARATHON ADRIANI KYOVECHO MIAKA 72 KUTOKA KILOSA
MKOANI MOROGORO AKIMALIZA MBIO ALIEKIMBIA KILOMITA 21 MZEE ADRIANI
ALIKUWA MFANYAKAZI KATIKA WIZARA YA ARDHI KAMA MPIMAJI VIWANJA NA HIVI
SASA AMSTAFU MZEE ADRIANI AMESHAWAHI KUSHINDA MASHINDANO YA SHIMUTA
YALIYOFANYIKA IRINGA NA KUWA MSHINDI WA TATU PIA AMESHIRIKI DODOMA
MASHINDANO HAYO ALIPATA NAFASI YA TATU NA KUPATA NGA PIA AMESHIRIKI
MASHINDANNOP YA CCM ALIPATA NAFASI 2 AMESEMA MASHINDANO HAYO YA UHURU
ALISIKIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA AMEKUJA DAR KUSHIRI AMEJILIPIA
MWENYE NAULI PAHALA PA KULALA NA LEO BAADA YA KUMALIZA ANARUDI NYUMBANI
KILOSA ALIMALIZA |
|
|
MWANDISHI WA
MICHEZO WA TBC ANGELA MSANGI NI MMOJA ALIESHIRIKI MBIO ZA UHURU
MARATHONI ZA UMBALI WA KILOMITA TANONA KUMALIZA MBIO HIZO |
No comments:
Post a Comment