Barcelona bado kuanza mazungumzo na Lionel Messi juu ya mkataba mpya hii ikiwa ni kwa mujibu wa Rais Sandro Rosell.
Tetezi zimezidi kuenea kuwa mshambuliaji huyo nyota wa Argentina anataka aongezewe mshahara wake ndani ya Camp Nou na ufanane na mshambuliaji mwenzake aliyesajiliwa majira ya kangazi Neymar, licha ya kuwa mshambuliaji huyo ndio kwanza amesaini mkataba ambao utamuweka hapo mpaka mwaka 2018.
Makamu wa Rais wa klabu hiyo maarufu kiutani kama Blaugrana Javier Faus ametanabaisha wiki hii kuwa klabu yake haina mpango wa kuanza mazungumzo na mshambuliaji huyo mwenye umri w miaka 26 hivi sasa ambapo kwa upande wake Rosell amesisitiza kuwa mshambuliaji huyo hana nafasi ya kuondoka.
Bodi ya klabu hiyo inajipanga kuamua hilo wakati huu wa msimu wa mwaka mpya kama wataanza mipango ya kuuboresha uwanja wao wa Camp Nou au kujenga uwanja mwingine lakini Rosell anasema ataaunga mkono maamuzi yote ya Bodi.
"It'll be a good day when all ideas are presented. I will support whatever the board decides to the death," .

No comments:
Post a Comment