KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, December 21, 2013

Mrembo wa Brazil awahuzunisha mashabiki wa soka kuelekea tuzo za Ballon d'Or mwezi Januari Iran hawamtaki

Mashabikiwa wa soka dunia kote wameonekana kuhuzunishwa na taarifa za mrembo mwanamitindo wa  Brazil Fernanda Lima kusema kuwa atakuwa mmoja wa wasimamizi za utoaji wa tunzo ya FIFA ya Ballon d'Or zitakzo fanyika mwezi January.

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 36 amekuwa maarufu sana duniani baada ya kushiriki katika zoezi la droo ya kupanga makundi ya kombe la dunia  2014 mjini Costo do Sauipe.

Hata hivyo amelazimishwa kubadilisha aina ya mavazi yake wakati wa hafla hiyo itakayo fanyika Zurich Uswiz on January 13 kufuatia maelfu ya wafuatialiji wa hafla hizo hususani kutoka nchini Iran kulalamika kufuatia wakurigenzi wa Televisheni moja wa Jamhuri ya kiislamu ya kukatisha matangazo kutokana na muonekano wa mwadada huyo kutafsiriwa kuwa yuko nusu uchi.
Hata hivyo mrembo huyo amenukuliwa akiomba radhi

'I am sorry for what happened. It was never my intention to offend any country, culture or people, or cause controversy.
'I have learned from this experience and will therefore be very careful in choosing my dress for the Ballon d'Or Gala so all can watch.'

Lionel Messi, Franck Ribery na Cristiano Ronaldo wanawania tunzo hiyo.
Stunning: Ms Lima certainly brought a bit of glamour to the event alongside FIFA President Sepp Blatter
Ms Lima akionekana wakati wa zoezi la upangaji wa matokeo akiwa sambamba na Rais wa Fifa Sepp Blatter
Glamorous assistant: Ms Lima helps FIFA Secretary General Jerome Valcke (right) conduct the draw
Ms Lima akiwa na katibu mkuu wa FIFA Jerome Valcke
Distraction: Ms Lima's dress forced Iranian television directors to cut the World Cup draw broadcast

No comments:

Post a Comment