Robin van Persie amesema kuwa yeye ni mwenye furaha ndani ya Manchester United kwani tayari wameshajenga 'partnership' na mshambuliaji mwenzake Wayne Rooney.
Mduchi huyo huko nyuma alihusishwa na tetesi kuwa alikuwa natafuta njia ya kutokea Old Trafford mwezi Januari na sasa ameeleza wazi kuwa ni mwenye furaha na anataka kuendeleza mahusiano yake mazuri na Rooney.
'ilikuwa ni mtafaruku wa pamoja wote tunataka kucheza' amenukuliwa akiongea na MUTV.
‘tumejikubali kuwa ni tukicheza pamoja kwasababu wote tunakuwa na nguvu kama tukifanya partnership.
‘With a player of Wayne’s calibre we can go from strength to strength and become even better than we are now.
‘It is important that this partnership is growing and becoming even stronger.’
No comments:
Post a Comment