Bayern Munich imejipanga kuwapa faraja mashabiki wake kwa kuwapunguzia gharama za safari kwa kulipia kiasi cha pauni milioni £74,320 ikiwa ni ruzuku kwao kuelekea katika mchezo wa mwisho wa hatua ya mtoano kuelekea Arsenal mwezi ujao.
Mabingwa hao wa Ulaya wameamua kuwapa faraja hiyo mashabiki wao ikiwa ni shukurani hususani kwa kikundi kitakatifu ushangiliaji ambao wamekuwa wakitoa sapoti kubwa kwa klabu yao.
Bdala ya kununua toketi kwa pauni £62, tiketi hizo sasa zitanunuliwa kwa pauni £37, licha ya kuwa tayari takribani mashabiki 18,000
wamesha omba nafasi 2,974 kwa mechi ya mchezo wa kwanza.
No comments:
Post a Comment