KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, April 18, 2014

Nyota mshambuliaji kinda wa West Ham Dylan Tombides amefariki dunia

Nyota mshambuliaji kinda wa West Ham Dylan Tombides amefariki dunia kufuatia kupisumbuliwa na ugonjwa wa kansa.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 raia wa Australia alianza kuichezea Hammers miaka miwili iliyopita  amefarikia dunia hii leo Ijumaa akiwa katika kitanda na familia yake.

Tombides aligundulika na kansa wakati akiitumikia timu ya taifa taifa ya Australia mwaka 2011 akiwa na kikosi cha Under 17 katika kombe la dunia la vijana nchini Mexico

No comments:

Post a Comment