KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, May 11, 2014

Peter Odemwingie anarejea uwanjani kwa mara kwanza dhidi ya Stoke City

Sasa akiwa uwanjani dhidi ya leo Stoke City, itakuwa ni mara ya kwanza anarejea tangu kituko chake alipoiacha West Brom na kuelekea Cardiff wakati wa kiangazi. Upinzani atakao kumbana nao utakuwa na umechanganya na bila shaka utamnyima nafasi ya kuongeza akili ya mchezo.
Katika nadharia, Odemwingie alipaswa kuondoka Albion kama shujaa. Mchezaji huyo wa zamani wa Lokomotiv alikuwa mfungaji mzuri akifunga jumla ya magoli 30 katika jumla ya michezo 87 aliyocheza(15 akifunga katika msimu wa kwanza ), ikiwa ni pamoja na kufunga katika michezo migumu dhidi ya Aston Villa na Chelsea, huku akipiga 'hat-trick' dhidi ya Wolves.
Pamoja na sifa nyingi alizo nazo ndani na nje ya uwanja ikiwa ni pamoja na kuwa rafiki wa watu, mcheshi, pia alikuwa na uwezo mkubwa wa kufunga magoli.

 Uwezo wake wa kufunga ungweza kuisaidia Albion kujiweka katika nafasi ya juu hususani katika msimu wake wa kwanza wa Premier League chini ya Roberto Di Matteo.
Should West Brom fans hate or appreciate Peter Odemwingie?
Peter Odemwingie alikuwa shujaa wa West Brom hero (Picture: Getty Images)
Kichekesho ni pale alipo endesha gari mpaka  QPR katika siku ya mwisho wa usajili wa kiangazi kujaribu kulazimisha kuhamia huko pamoja na kutumia maneno ya kuwaadhi kupitia ukurasa wake wa'twitter' juu ya klabu yake na maashabiki wake (ambao mara kadhaa walikuwa wakimsapoti dhidi ya ubaguzi wa rangi alipokuwa nchini Russia katika klabu ya Locomotive) ndio jambo baya lililomfanya abwatuke.

Tusubiri tuone nini kitatoke wakati wa mchezo wa leo kama mashabiti wa West Brom watamsamehe au kama watamtoa mchezoni

No comments:

Post a Comment