KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, June 10, 2014

Kiungo Joe Cole ajiunga na Aston Villa akiwa huru

Ntota wa kimataifa wa England amesajili klabu ya nne kuchezea 'Premier league' baada ya kipindi cha pili cha kuitumikia West Ham kumalizika baada ya miezi 18 ya uwepo wake ndani ya jiji la London.

Joe Cole amesaini kuichezea Aston Villa akiwa ni mchezaji huru baada ya klabu hiyi kuthibitisha kuwa amefanikiwa kushinda vipimo vya afya.
Kiungo huyo wa kimataifa wa zamani wa England amekuwa huru baada ya mkataba wake na West Ham kumalizika ambapo hakuweza kusubiri kuanguka wino ndani ya viunga vya Villa Park.