KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, June 15, 2014

Kombe la dunia: Goli la kusawazisha la Daniel Sturridge lapelekea England kumkosa mtaalamu wao wa viungo

Ouch: Lewin grimaces in pain after his sickening slip that left him felled on the touchline and seeking help
England huenda ikamkosa mtaalamu wao wa viungo mpaka kumalizika kwa michuano ya kombe la dunia kufuatia mtaalamu huyo kukumbwa na midadi kupitiliza na kushangilia la kusawazisha la timu yake dhidi ya Italia usiku jana.
Daniel Sturridge aliisawazishia England baada ya Italia kutangulia lakini kushangilia kupitiliza kulimsababishia madhara mtaalamu huyo wa viungo.
Gary Lewin alionekana kupagawa mno na kupelekea kupoteza udhibiti wa mwili wake kiasi kuanguka na taarifa za awali zinasema amepata enka mbaya ya mguu wake wa kushoto

Discuss: England manager Roy Hodgson and Italy coach Cesare Prandelli talk while England physio Gary Lewin les on the ground being treated for his dislocated ankle in the background
Lewin alipewa matibabu ya muda mrefu pembezoni mwa eneo la kuchezea kabla ya kuchukuliwa na machela na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi.
Lewin ni mtaalamu wa viungo wa England kwa mingi akichukua kazi akitokea katika klabu ya Arsenal ambako anafanya kazi ya ajira ya kudumu.