KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, June 15, 2014

Kombe la dunia: Mario Balotelli ampa raha ya bao la ushindi mchumba wake Fanny Neguesha

Mchumba wa Mario Malotelli Neguesha akichukua kumbukumbu za picha za mchezo uwanja wa Manaus.
Mario Balotelli si kwamba alikuwa akiangaliwa na watu wa taifa lake alipokuwa uwanjani akiwakilisha Italia dhidi ya England, bali pia mchumba wake Fanny Neguesha alikuwa ni miongoni mwa umati wa watu wa Italia waliokuwa wakishuhudia mchezo wa ufunguzi wa kundi D wa kombe la dunia dhidi ya England.
Mrembo huyo raia wa Belgiam alionekana ndani ya uwanja wa  Manaus' Arena Amazonia akiwa amevalia jezi ya Azzurri ikiwa na jina na mbaya ya jezi anayovalia mshambuliaji huyo mtukutu Balotelli.
Neguesha alionekana akitoa tabasamu muruaa wakati akishuhudia Balotelli akifunga goli la kichwa mapema kipindi cha pili lililoipa ushindi Italia wa mabao 2-1.
Keen supporter: Mario Balotelli's fiancee Fanny Neguesha was in the crowd for Italy's game vs England
Mchumba wa  Mario Balotelli Fanny Neguesha akiwa katikati ya umati wa mashabiki wa Italia katika mchezo wa Italia dhidi ya England



All smiles: Neguesha waves to the big screen at the Arena Amazonia during Italy's clash against England
Muda wa tabasamu: Neguesha akipungia mkono uwanjani Arena Amazonia aliposhitukia kamera za uwanja zinammulika uwepo wake


On the ball: Balotelli (centre) started for Italy in their World Cup Group D opener against England in Manaus
Balotelli (katikati)alianza katika kikosi cha kwanza mchezo wa Italia dhidi ya England mchezo wa kundi D mjini Manaus


Official: Balotelli announced his engagement to Neguesha via his Instagram account on Monday
Rasmi: Balotelli alitangaza kumchumbia Neguesha ambapo alitupia picha hizi kupitia ukurasa wake wa Instagram Jumatatu

 
 Up for it: Balotelli (right) put Italy 2-1 ahead with an early second-half header against England
Balotelli (kulia) akifunga goli la ushindi la Italia dhidi ya England kwa kichwa

No comments:

Post a Comment