KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, June 21, 2014

Mlinda mlango wa Newcastle Tim Krue kuihama klabu yake akisaka michuano ya vilabu Ulaya

Imeripotiwa kuwa Tottenham inampango wa kutenga kiasi cha pauni milion £10 kwa ajili ya mlinda mlango wa Newcastle Tim Krul, huku Hugo Lloris akitarajia kuihama White Hart Lane kiangazi hii.
Lloris pia ni anawindwa na fedha nyingi na mabingwa wa Ufaransa Paris Saint-Germain ambapo pia mlinda mlango mwenyewe anaonekana kutaka kuihama klabu yake hiyo akisaka klabu ambayo itashiriki michuano ya vilabu bingwa Ulaya.
Tim Krul amekuwa akiidakia Newcastle tangu 2005 (Picture: Getty)