KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, June 21, 2014

Wayne Rooney awaomba radhi mashabiki wa England kupitia facebook lakini maoni yamashabiki hao ni kejeli kama ifuatavyo

Ilikuwa mara kadhaa ikitokea , lakini Wayne Rooney amelazimika kuomba radhi kwa England kutolewa katika kombe la dunia.
England maarufu kama  Three Lions watalazimika kurejea nyumbani baada ya mchezo wao wa Costa Rica, ikiwa ni baada ya matokeo ya kuchapwa kwa michezo miwili ya mwanzo ya hatua ya makundi.
Rooney, amelazimika kuwajibu na kuwapoza mashabiki ambao wamekuwa wakituma wakiilaumu klabu hiyo ambapo kupitia ukurasa wake wa Facebook Rooney aliomba radhi mashabiki.

Hivi ndivyo mashabiki walivyoshiriki kutoa maoni yao kwa Rooney 

ROONEY 1
rooney 2
ROONEY 3
ROONEY 4
ROONEY 5
ROONEY 6
ROONEY 7
ROONEY 8
ROONEY 9
ROONEY 10
ROONEY 11