KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, June 21, 2014

Nahodha wa Iran Javad Nekounam aomba mapema jezi ya Messi

Nahodha wa Iran Javad Nekounam hakuona sababu ya kuchelewa au kusubiri kuondoka na jezi ya mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi mara baada ya mchezo baina yao kumalizika huko Belo Horizonte.
Mchezaji huyo wa Iran ameripotiwa kutokuvua jezi yake katika mchezo dhidi ya Nigeria ambao ulimalizika kwa sare lakini inavyoonekana amedhamiria baada ya mchezo wao hii atabadilishana jezi na Messi iwe kumbukumbu kwake.
Hapaswi kulaumiwa kwa hilo.