KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, June 19, 2014

Mourinho anatamani kuwa meneja wa England siku za usoni

Jose Mourinho anasema anatamani kuwa meneja wa England (Picture: Getty)
Chunga sana Roy Hodgson, Jose Mourinho ameweka wazi kuwa anataka kuwa meneja wa England.
Bosi huyo wa Chelsea amesema mara kadhaa amekuwa akipiga chini kazi ya ubosi wa Three Lions baada ya kuondoka kwake Stamford Bridge mwaka 2007, na kwamba mara kadhaa amekuwa akihusishwa na kazi hiyo.
Wakati wa ziara yake nchini Ivory Coast kama balozi wa UN latika mradi World Food Programme, Mourinho alisema angependelea siku moja kuwa meneja wa nchi hiyo ambayo anaipenda sana.

Jose Mourinho ana furaha kufanya kazi katika ngazi ya klabu kwa sasa(Picture: Getty)