KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, August 7, 2014

BARCELONA WAMTUMA MKURUGENZI WAO RAUL SENLLEH KUCHUKUA VERMAELEN EMIRATE STADIUM

Mlinzi Thomas Vermaelen hakushiriki mazoezi alhamisi hii na kufanya mtoko na mpenzi wake Polly Parsons.
Wawakilishi kutoka Barcelona wametua London kwa matumaini ya kukamilisha mpango wa kumsajili Thomas Vermaelen wakikabiliana na jitihada  za Manchester United kumsajili mlinzi huyo.
Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 28 amekuwa akiwaniwa na vilabu vyote hivyo Catalans na United kiangazi hii huku meneja wake Arsene Wenger akithibitisha kumuweka sokoni.
Barcelona wamemtuma mkurugenzi wake Raul Senlleh jijini London kwa matumaini ya kumsajili mchezaji huyo wa Arsenal.
On his way? Arsenal defender Thomas Vermaelen could be moving to Barcelona
Njia moja: Mlinzi wa Arsenal Thomas Vermaelen huenda akajiunga na Barcelona
Nowhere to be seen! Vermaelen wasn't training with Arsenal on Thursday because of a hamstring injury
Vermaelen hakuwepo mazoezini Arsenal Alhamisi kutokana na kuwa majeruhi.