KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 8, 2014

LUIS SUAREZ ATINGA USWIZ KUSIKILIZA KESI YA KUMNG'ATA CHIELLINI HUKU WAKILI WAKE AKITOKA MAHAKAMANI NA MATUMAINI MAKUBWA

Suarez akitokezea katika siku yake ya kwanza ya kusikiliza shauri lake la kupinga kufungiwa kwa miezi minne kufuatia kumng'ta Giorgio Chiellini
Luis Suarez ameondoka katika mahakama ya michezo duniani (Court of Arbitration for Sport (CAS)) iliyoko mjini Lausanne baada ya masaa matano ya usikilizwaji wa rufaa yake ya kupinga kufungiwa kwa miezi minne ya kutokujishughulisha na na mchezo wa soka baada ya kumng'ata Giorgio Chiellini katika kombe la dunia.
Suarez aligomea kuongea lolote wakati akiondoka makao makao makuu ya CAS nchini huko Uswiz mbali ya kusaini autographs na mashabiki wake waliokuwa nje ya mahakama hiyo wakimsubiri.  
Mshambuliaji huyo wa Barcelona na timu yake ya wanasheria wana matumaini makubwa kwamba adhabu dhidi yake yo iliyotolewa FIFA huenda ikapungua.
Endapo hilo litatokea basi itakuwa ni njia kwa nyota huyo wa kimataifa wa Uruguay mwenye umri wa miaka 27, kurejea tena katika soka baada ya Agosti 25, na kuanza kuitumikia klabu yaje mpya katika ligi ya Hispania dhidi ya Villarreal Agosti 31.
Stare: Luis Suarez gestures to the camera as he leaves the Court of Arbitration for Sport in Lausanne following a five-hour hearing on the first day of his appeal against the four-month ban handed down for biting
Scramble: Suarez is grabbed by a fan as he tries to leave the court building in Lausanne
Souvenir: Suarez did take some time to sign footballs for young fans outside the court building
Encouragement: A young Barcelona fan wishes Suarez well and hopes to see him playing for his side soon
Encouragement: A young Barcelona fan wishes Suarez well and hopes to see him playing for his side soon
Waiting game: The press wait for Suarez to re-emerge from CAS after a decision is made


Wakili wa Suarez Alejandro Balbi, ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka nchini Uruguay amekaririwa akisema kuna nafasi finyu ya kubadilishwa kwa adhabu ya kusimama kwa michezo tisa ya kimataifa lakini huenda adhabu ya kusimama kwa miezi minne ikapunguzwa.

No comments:

Post a Comment