KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, October 4, 2014

Arsene Wenger amesisistiza kuwa Cesc Fabregas haikuwa chagua lake majira ya kiangazi

Fabregas akiwa na mpenzi wake Daniella Semaan na familia yake wakiwa na maisha mapya tena nchini London
Arsene Wenger amesisitiza kuwa haikuwa chaguo lake kumrejesha Cesc Fabregas licha ya kiungo huyo wa zamani wa Arsenal kuamua kuelekea London ya Kaskazini katika klabu ya Chelsea

Wshika mitutu walikuwa wagumu kumruhusu nahodha wao huyo wa zamani kujiunga na Barcelona kiangazi mwaka 2011.

Lakini Wenger meneja huyo Mfaransa alipiga chini kutaka kumrejesha nyota huyo wa kimataifa wa Hispania na kuruhusu wapinzani wa Chelsea kumuchukua kwa gharama ya pauni £30 kiangazi mwaka huu.
Cesc Fabregas has flourished at Chelsea following his £30million switch from Barcelona last summer 
Fabregas (left) fends off a challenge from Loic Remy during Chelsea's training session on Friday
Fabregas (kushoto) katika mazoezi na timu yake ya Chelsea pamoja na Loic Remy IJumaa

No comments:

Post a Comment