KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, October 4, 2014

Liverpool yarejesha mwendo wa ushindi huku Adam Lallana akianza kuandika ukurasa mpya wa kufunga

Jordan Henderson akishangilia akiwa na nahodha Steven Gerrard bao lililoipa ushindi Liverpool wa mabao 2-1 dhidi ya West Brom uwanja wa Anfield
Liverpool imerejea katika njia nzuri ya ushindi katika mchezo dhidi ya Everton huku Adam Lallana akifunga goli lake la kwanza ndani ya klabu hiyo tangu kujiunga na klabu hiyo akitokea Southamton kwa uhamisho uliogharimu pauni za kingereza £23.
Akipata ushindi wake wa kwanza katika jumla ya michezo sita tangu kuumia kwa mshambuliaji Daniel Sturridge ikiwa ni pamoja na kupoteza mchezo wa ligi yha mabingwa Ulaya katikati ya wiki mbele ya Basle, meneja Brendan Rodgers alilazimika kumuweka katika benchi mshambuliaji wake Mario Balotelli na kumtumia Adam Lallana ambaye aliziba pengo la ukame wa mabao kwa Liverpool.
Baada ya Saido Berahino kusawazisha kwa upande wa West Ham kwa njia ya penati, mambo yalikuwa mazuri tena kwa Liverpool kufuatia kupata bao la ushindi kupitia kwa Jordan Henderson na kuwapa furaha mashabiki 44,000 wa Liverpool waliofurika katika uwanja wa Anfield. 
Henderson watches his shot go in and give Liverpool a 2-1 lead at home to West Brom
Henderson akiangalia mpira aliopiga ukielekea golini dhidi ya West Brom

No comments:

Post a Comment