KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, October 3, 2014

Mkongwe Sir Bobby Charlton akimbizwa hospitali katika tukio la mchezo wa hisani wa gofu


Legendary wa Manchester United Sir Bobby Charlton anaendelea vizuri baada ya kufikishwa hospitali alhamisi ya jana kufuatia kupata maumivu makali ya tumbo katika tukio muhimu la mchezo wa hisani wa gofu.

Nyota huyo wa zamani aliyefanikiwa kutwaa kombe la dunia mwaka 1966 alikuwa akicheza mchezo huo katika pro-am tournament huko St Andrews alilalamikia maumivu ya tumbo.

Baada ya kukimbizwa kwa usafiri wa dharura yaani Ambulance kuelekea hospitali ya Ninewells iliyoko kitongoji cha Dundee baadaye iliripotiwa kuwa alikuwa ni mwenye nafuu na alikula chakula cha mchana na mkewe Lady Charlton.
The Manchester United legend, 76, was taken to hospital after complaining of stomach pains during his round 
Akiwa na umri wa miaka 76 mkongwe huyo alikimbizwa hospitali baada ya kulalamikia maumivu ya tumbo katika roundi ya pili

Enzi za uchezaji wake katika klabu na timu ya taifa 


Manchester United michezo : 768. magoli: 249
England  michezo : 106. magoli: 49. 
ameshinda taji la European Cup akiwa na United mwaka 1968
Alishinda kombe la dunia mwaka 1966 

Charlton anatazamwa kama ni miongoni mwa viungo bora katika kizazi chake cha soka na miongoni mwa wachezaji wakubwa waliowahi kuichezea England.
Ameichezea United michezo 768 na kushikilia rekodi ya Old ya utumishi ndani ya Trafford kabla ya kupitwa club before he was surpassed by Ryan Giggs in 2008.
With 49 England goals he is the country's record scorer and appeared for the Three Lions at four World Cups in 1958, 1962, the triumphant campaign in 1966 and in 1970.
Charlton, seen here with Sir Alex Ferguson at the funeral of Sir Matt Busby's son, Sandy, in September 
Charlton, akionekana hapa na Sir Alex Ferguson wakati wa mazishi ya mtoto wa Sir Matt Busby , Sandy, mwezi September 

Bobby Charlton (kushoto) akiichezea Manchester United dhidi ya Chelsea mwaka 1966

Charlton (kulia) akipiga shuti dhidi ya Scotland uwanja wa  Wembley mwaka 1965

No comments:

Post a Comment