KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, October 4, 2014

Ligi kuu Tanzania Bara: Simba bado na mwendo wa kinyonga yatoka sare na wageni wa ligi Stand United

Mshambuliaji wa Simba Hamisi Tambwe akishuhudua mpira ukidakwa na mlinda mlango wa Stand United ya Shinyanga John Mwenda katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam na kumalizika kwa timu hizo kufungana bao 1-1 huku bao la Simba likifungwa na kiungo Shabani KIsiga 'Mallon' na bao la Stand likifungwa na Kheri Mohamed

Mshambuliaji wa Simba Emmanuel OKwi akidhibitiwa na mlinzi wa Stand United ya Shinyanga Iddi Mobby katika mchezo wa ligi kuu uwanja wa Taifa