PICHANI JUU
WAMJUA NI NANI ATM YA MAPENZI UHURU FM
ANAITWA SAIDI AMBUA MKALI WA MAPENZI NA MWENYEWE AKIJIITA “ATM”YA MAPENZI KAMA MAPENZI ANAYAJUA NA HATA UKAMSIKILIZA KATIKA VIPINDI VYAKE VYA MAPENZI HUTABISHA KUWA JMAA NI MKALI WA MALAVIDAVI.
UNAKUTANA NAYE KILA JUMATANO ALHAMISI NA IJUMAA KUANZIA SAA TATU NA NUSU MPAKA SAA SITA USIKU KUPITIA UHURU FM 95.2FM KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI OYTE ,92.9FM WAKAZI WA MWANZA,SHINYANGA NA KAGERA NA KANDA YOTE YA ZIWA,99.7FM ARUSHA,MANYARA,KILIMANJARO NA KANDA NZIMA YA KASKAZINI BILA KUSAHAU 88.2FM WA WASIKILIZAJI WA KANDA YA KATI DODOMA,SINGIDA, IRINGA NA MAENEO YA MOROGORO.KATIKA 106FM NI KULE TANGA NA ZANZIBAR.
HAJUI KUFICHA SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAPENZI MSIKILIZE KUANZIA SASA.HUYO NDIYE SAIDI AMBUA AKA “ATM YA MAPENZI”
No comments:
Post a Comment