MFAHAMU SHEILA SIMBA AKIWA KATIKA MICROPHONE NA HEADPHONE
Kutoka triple A Arusha mpaka Uhuru FM na sasa akikabidhiwa majukumu ya kuhakikisha vipindi viwili vya Kapu kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 6:00 mchana na Ambiance shituka chini ya wakali kama mapacha Kigwa One na Anuari Sanga kuanzia saa 10:00 mpaka saa 1:00 huyu si mwingine ni bibiye Sheila Simba ambaye sasa ameanza kusimama.
Sasa mambo mswano pale chini kwenye KAPU amesimama na kaka Mkubwa Eddy au Fast Eddy pmoja na Kimatale Kim kuna mambo mengi ambayo hupaswi kukosa pande za burudani ndiyo usiseme.
Sheila anawakaribisha sana tena wasikilizaji wake kuvinjari naye muda huo lakini pia usisahau Ambiance kama ni collable basi ipo muda huo kwasababu ya vichwa alivyo navyo ni kushituka kwenda mbele, ratiba.usikose kusikila vipindi hivyo kwa sababu ya utamu wa sauti yake ukijumlisha na mpangilio wa vipindi vyake hutakiwi kukosa.
Mastori ya wasanii wa ndani na nje ya nchi katika Ambiance na mualiko wa wageni studio hasa wadau wa muziki wa dansi hapo.sikiliza Uhuru FM.

No comments:
Post a Comment