Manchester United: Ferguson ampongeza Van Persie
Sir Alex Ferguson amesema Robin van Persie has had "as
big an impact as anyone" he can remember at Manchester United after
helping them win the Premier League.
Mduchi huyo mwenye umri wa miaka 29 ali[piga hat-trick usiku
wa jana katika mchezo wa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Aston Villa ambayo
yameipa ushindi United wa kutwaa taji la 20 al ligi kuu Primier League.
Mabao ya jana yamekamilisha jumla ya mabao yake ya kufunga
kuwa 24 tangu ajiunge na United akitokea Arsenal kiangazi .
Did you know? Van
Persie hat-trick dhidi ya Villa ilikuwa ya pili katika msimu huu kwa msimuuwas
his second of the season for United. Aliwahi kufunga hat-tricks tatu katika
kipindi chote alichokuwa Arsenal
Ferguson amesema.
"Nakumbuka
meneja wa Arsenal mzee Arsene Wenger aliniambia ni mchezaji mzuri kuliko ninavyo
mfikiria wakati huo tukimaliza mchakato alikuwa
sahihi "
Mapema msimu huu bosi wa Manchester City Roberto Mancini alikaririwa
akisema kushindwa kwake kumnunua Van Persie kulitokana na tofauti baina ya timu
hizo mbili katika mbio za taji.
Ferguson amesema
"jamaa ametoa mchango wa aina yake zaidi ya ambao ni
kuliko mtu mwingine.
"Eric Cantona alikuwa ni mchezaji wa aina hiyo na
nimekuwa ni mwenye bahati ya kupata washambuliaji fantastic takribani
washambuliaji 10 wazuri katika klabu hii.
Ferguson ameliita goli la pili la Van Persie al mguu wa
kushoto mpira wa volley kuwa "goal of
the century".
"It was a
marvellous hit, head down, over the ball, perfect timing - a magnificent
strike.
"hilo ni miongoni mwa magoli mazuri yaliyo wahi
kufungwa kwa miaka mingi huko nyuma yakifungwa na akina David Beckham, Ole
Gunnar Solskjaer, Eric Cantona nalo linajumuishwa humo.
MOST
PREMIER LEAGUE TITLES:
Club/player
|
Titles
|
Manchester
United
|
13
|
Ryan
Giggs
|
13
|
Paul
Scholes
|
11
|
Gary
Neville
|
8
|
Denis
Irwin
|
7
|
Roy
Keane
|
7
|
David
Beckham
|
6
|
Nicky
Butt
|
6
|
Ole
Gunnar Solskjaer
|
6
|
Phil
Neville
|
6
|
Rio
Ferdinand
|
6
|
Peter
Schmeichel
|
5
|
Andy
Cole
|
5
|
Wes
Brown
|
5
|
John
O'Shea
|
5
|
Club/player
|
Titles
|
Wayne
Rooney
|
5
|
Patrice
Evra
|
5
|
Nemanja
Vidic
|
5
|
Michael
Carrick
|
5
|
Eric
Cantona
|
4
|
Brian
McClair
|
4
|
Gary
Pallister
|
4
|
Edwin
van der Sar
|
4
|
Park
Ji-Sung
|
4
|
Darren
Fletcher
|
4
|
Arsenal
|
3
|
Chelsea
|
3
|
Blackburn
Rovers
|
1
|
Manchester
City
|
1
|
Champions League semi-final first leg
Venue: The Allianz Arena
Meneja wa Bayern
Munich Jupp Heynckes anasema haogopi juu ya kurejea kwa Lionel Messi katika
kikosi cha Barcelona katika mchezo wao wa leo wa ligi ya mabingwa hatua ya nusu
fainali nchini Ujerumani.
Messi hakuwepo
uwanjani tangu alipoondoshwa uwanjani katika mchezo dhidi ya Paris St-Germain.
Kwasasa inaarifiwa
kuwa yuko sawa.
Katika msimu
huu wa ligi ya mabingwa Messi amefunga jumla ya mabao 8 msimu ambao ulikuwa
mzuri kwa muajentina huyo.
Mwezi uliopita
aliweka historia ya kufunga kila mchezo mfululizo katika ligi kuu ya Hispania La
Liga.
Jordi Roura anasema
amesafiri na kuna uwezekano wa kucheza nchini Ujerumani.
Barcelona wanasaka
taji kwa mara ya tatu ndani ya kipindi cha misimu mitano ilhali Bayern Munich wanasaka
nafasi ya kucheza fainali ya mabingwa ulaya kwa mara ya tatu ndani ya misimu
minne mfululizo.
"natarajia
tutaweza kucheza na hicho si kitu kinacho niumiza kichwa".
Meneja huyo
wa zamani wa Real Madrid Heynckes hajatafuta
ushauri wa aina yoyote kutoka na meneja wa zamani wa Barcelona Pep Guardiola katika
kipindi cha mmaandalizi ya mchezo huo dhidi ya vinara wa ligi kuu ya nchini hispania
La Liga.
Guardiola atachukua
nafasi ya Heynckes katika Bayern dugout kiangaji.
Mario Gotze kujiunga na Bayern Munich akitokea Borussia Dortmund kwa uhamisho wa gharama.
Mario Gotze anatarajiwa
kuwa ndiye mchezaji mwenye thamani kubwa wa kijerumani wa muda wote baada ya
mabingwa wa soka wa Bundesliga Bayern Munich kutangaza kuwa kiungo huyo wa Borussia
Dortmund atajunga nao majira ya kiangazi.
Bayern wamesema
kuwa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 20 ataelekea kwao july mosi kufuatia
mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujrumani kuwambia waziwazi Dortmund kuwa anataka
kuondoka.
Kocha wa Dortmund
Jurgen Klopp amekaririwa akisema "Mario anajua kuwa amepata mengi katika
klabu lakini anajua pia kuwa ataacha mengi nyuma yake"
Kiwango cha
ada ya uhamisho kilichowekwa wazi kimetajwa kuwa ni euro milioni 37m euros
(£31.5m).
Kabla ya
hapo mchezaji mwenye thamani wa kijerumani alikuwa ni Mario Gomez ambaye
alihama kutoka Stuttgart mwaka 2009 kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £26.5m
alipojiunga na Bayern.
Gotze
atajiunga na Bayern wakati mmoja na meneja mpya Pep Guardiola, ambaye anakwenda
kuchukua nafasi ya Jupp Heynckes.
Klopp amesema
"Gotze alikuwa
akitakiwa na Guardiola kusajiliwa na klabu hiyo.
German transfer records
Mario Gotze (2013): Dortmund to Bayern
£31.5m (reported)
Mario Gomez (2009): Stuttgart to Bayern
£26.5m
Manuel Neuer (2011): Schalke to Bayern
£19.5m
Mesut Ozil (2010): Werder Bremen to Real
Madrid £16m
Dortmund
chief executive Hans-Joachim Watzke said his club were "disappointed
beyond measure" about Gotze's decision to leave but that the player and
his advisers had "behaved within the terms of the contract".
Deco:
amchana Abramovich.
kiungo wa
zamani wa Chelsea Deco de Souza amesema Chelsea si kama vilabu vingine vya England
kwasababu ya namna mmiliki wake Roman Abramovich anavyoiendesha.
Kiungo huyo
kimataifa wa zamani wa Brazil ambaye alifanya kazi chini ya makocha Luis Felipe
Scolari, Guus Hiddink na Carlo Ancelotti katika kipindi chake cha miaka miwili
ya kuitumikia klabu hiyo amesema kuwa anamini Abramovich anachukua maoni ya
mashabiki zaidi kuloko professionalism.
Akiongea na
wanahabari amesema
"Chelsea
ndio klabu pekee inayopenda kufanya hivyo"
Anaemdelea kwa
kusema
"ndani
ya klabu mameneja ndio wanaokuwa na nguvu zaidi ya kuamua na kufanya kazi. Nimekuwepo
pale tangu wakati wa Peter Kenyon na mambo yamebadilika tangu wakati huo
alipoondoka"
Anaongeza kwa
kusema
"sina
hakika namna mambo yanavyokwenda sijui kama Abramovic anafanya maamuzi yote ama
lah. Lakini ni wazi kuwa kama wewe ni mmiliki wakati mwingine unakuwa na mawazo
ya mashabiki kuliko ya kitaalamu.
Nilikuwa na
mameneja watatu pale Scolari, Hiddink na Ancelotti, lakini ni wazi kwamba ni
klabu ukiachilia mbali utamaduni wa kingereza."
Hata hivyo
kiungo huyo pia wa zamani wa Porto na Barcelona amependelea kumuona Jose
Mourinho akirejea Stamford Bridge ikiwa ni miaka sita.
Cameroon waanza mchakato wa kumpata
kocha mpyakuchukua nafasi ya Akono
Cameroon imeanza
mchakato wa kumpata kocha mpya wa timu ya taifa Indomitable Lions.
Hata hivyo
kocha wa muda wa sasa Jean-Paul Akono amesema hayuko tayari kuomba kazi hiyo.
Alichukuliwa
kama kocha wa timu ya taifa wa muda mwezi September mwaka jana akichukua nafasi
ya mtangulizi wake Denis Lavagne na tangu wakati huo amekuwa akifanya kazi bila
ya mkataba.
Waziri wa
michezo wa Cameroon , Adoum Garoua, amelitaka shirikisho la soka la nchi hiyo
CFF kuwapelekea orodha fupi ya makocha ya wale watakao pewa kibarua hicho.
Kulikuwepo na
malalamiko kuwa wakati wakimpa kazi ya muda Akono taratibu za mchakato wa
kusaka kocha hazikufuatwa na ndio maana hakupewa mkataba.
Inaaminika kuwa
Akono alikuwa katika makubaliano ya kulipwa US$30,000.
Maamuzi yake
ya kutokuwania nafasi huyo kumeonekana kuwafurahisha hata wadhamini wa vifaa
vya timu ya taifa kampuni ya Puma.
No comments:
Post a Comment