Meneja wa kikosi cha Manchester united David Moyes kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa yeye ni mtu stahili kukiongoza kikosi cha timu hiyo hata baada ya kikosi chake kuwa na matokeo mabaya katika kipindi cha miaka 24 iliyopita.
Mabingwa hao wa soka nchini England wamepoteza michezo mitatu katika jumla ya michezo yao sita ya kuanza msimu huu wa ligi kuu ya Premier League chini ya Mskochi huyo na kujiweka katika nafasi ya 12 katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa na lama saba.
Lakini bado mtangulizi wa Moyes, ambaye amechukua nafasi ya Sir Alex Ferguson aliyedumu kwa miaka 26 ndani ya klabu hiyo na kujiuzulu mwezi juni ana imani na uwezo wake na kikosi kizima cha United na kwamba kitapanda katika msimamo wa ligi hiyo.

Amenukuliwa akisema
"Nina hakika United inajua kuwa imemchukua mtu stahiki kuchukua anafasi ya Sir Alex
na huo ulikuwa ni mchakato".
"Ni wachezaji wazuri . wanajua kiwango walichokitengeneza kwa miaka mingi iliyopita hivyo kwa pamoja tutakifanyia kazi kukiweka sawa.
"Ni msimu mrefu. tutapambana kwa karibu ili kurejea katika nafasi ya juu hivi punde."
Mchezo ujao wa United ni safari ya kuelekea Stadum of Light kuifuata Sunderland ambayo kwasasa haina meneja.
Kevin Ball amechukua nafasi katika kikosi hicho cha paka mweusi (Black Cats) kwa muda na Moyes amekionya kikosi chake kutokkuidharau timu iliyo katikia hali mbaya.
"It's an important game," he noted. "We want to try and win it so we'll pick a team which we think can get a result.
"Kevin is very experienced. They look like they played quite well in the last two games."
Wayne Rooney anatarajiwa kuwa fiti kuwakabili Sunderland hapo kesho lakini Moyes anasema hana uhakika na hali ya jareha la mshambuliaji huyo

No comments:
Post a Comment