KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, November 27, 2013

Ricaldo Kaka anasema ushindi dhidi ya Celtic na nguvu mpya katika msimu.

 Nyota wa AC Milan Ricaldo Kaka anaamini kuwa ushindi wa kikosi chao wa mabao 3-0 dhidi ya Celtic hapo jana utawapa nguvu kuelekea kwenye mwenendo mzuri ndani ya msimu.

The Rossoneri wameanza kampeni msimu huu kwa matokeo mabovu na kwasasa wakiwa katika nafasi ya 13 katika msimamo wa Serie A, lakini wanadai ushindi mkubwa ndani ya vilabu bingwa Ulaya huko Parkhead ni mwanzo wa ndani ya michezo minane.

Kiungi huyo Brazil anaamini kuwa yeye na wenzake wanaweza kupata moyo zaidi na kuwa na moyo kutokana na matokeo hayo na kutuyatuamia kama njia ya kujiimarisha zaidi.

"The victory is extremely important regardless of our previous results," the 31-year-old told reporters. "It is an essential victory and we achieved the result we wanted.

Kaka alifunga goli la kwanza la Milan kwa kichwa huku Cristian Zapata akifunga la pili kabla ya Mario Balotelli kumalizia bao la tatu.

No comments:

Post a Comment