KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, April 5, 2014

Manchester Utd: Wayne Rooney ataukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Bayern Munich Jumatano

Wayne Rooney yuko mashakani kuichezea Manchester United katika mchezo wa pili wa robo fainali wa klabu bingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich mchezo ambao utapigwa Jumatano kufuatia kusumbuliwa na maumivu ya kidole.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alimepatwa na matatizo hayo katika mchezo wa Jumanne wa sare ya bao 1-1 na hii leo hakuwepo uwanjani katika mchezo dhidi ya Newcastle ambao umemalizika kwa ushindi wa mabao 4-0.

Meneja wa United David Moyes amethibitisha hilo kwa kusema "Amepata mchubuko mkubwa na unaweza kuwa tatizo kuelekea katika mchezo ujao dhidi ya Munich match"

No comments:

Post a Comment