CECAFA KAGAME CUP:MUSONYE AWATAKA MASHABIKI KWENDA UWANJANI.
Sehemu ya uwanja wa taifa katika mchezo wa APR vs Atletico |
Hivi ndivyo ilivyo katika michezo ya michuano ya kombe la Kagame michezo ya mchana hakuna mashabiki.Akiongea na Rockersports katibu wa CECAFA Nickolaus Musonye amewataka watamnzania kwenda uwanjani kuhamasisha timu zao licha ya kuwa na fursa ya kuangalia michezo ya michuano hiyo kupitia luninga zao.
Amesema anajua watanzania ni wapenzi wa timu mbili kubwa za Simba na Yanga na wamekuwa wakichoza kwenye michezo ya timu za lakini ni vema wakafika uwanjani mapema ili kuziona timu nyingine zinazo shiriki michuano hiyo na kujenga utamaduni wa kuchangia maendeleo ya mpira wa miguu kwa kuchangia viingilio.
|
No comments:
Post a Comment