Kamati ya utendaji mpya ya Yanga, kutoka kushoto Manji, Bin Kleb,Manyama , Sanga na katibu wao Mwesigwa. |
Neno lake zito ni kuhakikisha Yanga inashinda michezo yake yote ya Kombe la Kagame ndipo atakapo anza kuwapa raha wachezaji wake anasema akianza sasa wachezaji wake watabweteka . Amewaahidi kuwa minofu ya nyama na hayuko tayari kuona timu yake inashida ya kitu chochote amewatakia kila kheri wachezaji wake na ameahidi kuwa karibu na timu hiyo kila watakapo muhitaji.
No comments:
Post a Comment