![]() |
Nasser Al Khelaifi amethibtisha kuwa PSG inataka kumnunu Rooney licha ya kwamba hawakuwahi kufanya naye mazungumzo. |
Rais wa Paris Saint-Germain amethibitisha kuwa klabu yake ina mpango wa kumpeleka mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney nchini Urafansa France.
Nasser Al-Khelaifi amesema kuwa ingawa PSG haijawahi kuwasiliana na mshambuliaji huyo wa England mwenye umri wa miaka 27 lakini alikuwa katika darubini yao.
Amenukuliwa Al-Khelaifi akiongea na Sky Sports akisema,
'Wako wacheza wengi ambao wangetaka kujiunga na klabu yake, na hilo si tatizo tangu wakati wana inunua klabu hiyo'.

'Rooney ni mchezaji mkubwa ni miongoni mwa washambujia wazuri sana duniani, nadhani kila mtu angependelea kuwa naye. lakini ki ukweli hatukuwahi kufanya naye mazungumzo.'
Rooney atakuwa anaungana na Zlatan Ibrahimovic ambaye anavuta euro milioni €14 sawa na pauni £11.8 kwa mwaka.
David Beckham anapokea kiasi cha pauni milioni £800 kwa mwezi ambapo alitangaza kuwa atatumia kiasi cha £1,900 kwa ajili ya kuchangia watoto walio katika mazingira hatarishi.

Endapo Rooney atajiunga na PSG basi atakuwa anaungana na nyota wa England wa zamani David Beckham.

No comments:
Post a Comment