KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, June 13, 2013

EXCLUSIVE: PSG kutoa pauni milioni £85 kwa ajili ya Bale ajiunge na AVB mjini Paris.

Allez! Bale's sunning himself in America, but he's wanted by PSG, along with boss Villas-Boas (below)
Allez! Bale's sunning himself in America, but he's wanted by PSG, along with boss Villas-Boas (below)
 
Paris Saint-Germain inajipanga kuipiku Real Madrid katika vita ya kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Gareth Bale kwa ada ya pauni milioni £85.

Mbingwa hao wa Ufaransa wanamshawishi meneja wa Tottenham Andre Villas-Boas kujunga nao huku wakiwa na matumaini kuwa huenda akafanikisha ukaribu wake na mchezaji huyo utafanikisha kumshawishi Bale kumfuata.

Pia pamoja na Villas-Boas kama ataamua kusalia London, wanadhani kuwa hiyo haita anagusha mipango na matumaini ya PSG kushinda vita ya mpango huo wa kumsajili Bale kwa kumlipa mafedha mengi.

PSG imeshatumia zaidi ya pauni milioni £200 kwa ajili ya uhamisho wa wachezaji tangu mwaka 2011 ilipochukuliwa na kampuni ya kimichezo ya Qatar 'Qatar Sport Investments' kampuni ambayo inaongozwa na familia ya kifalme nchini humo.
 
Kwasasa ada kubwa iliyoweka rekodi ya uhamisho wa wachezaji ni ile iliyowekwa na Real Madrid ya paini milioni £80m, kwa ajili ya kumchukua Cristiano Ronaldo kutoka Manchester United.

No comments:

Post a Comment