Kocha Uruguay Oscar Tabarez anatarajiwa
kuwa na mlinzi wake m kongwe Andres Scotti kwa mara nyingine tena baada ya
kusimama kwa mchezo mmoja.
Tabarez pia ameamua kuendelea kuwatumia
Edinson Cavani, Luis Suarez na Diego Forlan katika safu yake ya ushambuliaji
kwa mara nyingine.
Kocha mtaliano Cesare Prandelli huenda
akawakosa Alberto Gilardino ambaye
anaonekana kupata maumivu katika mchezo dhidi ya Hispania.
Kukosekana kwa mshambuliaji hatari
na mwenye maswahibu Mario Balotelli kutapelekea mtaliano huyo kulazimika kumtumia
Stephan El Shaarawy katika kikosi cha kwanza na inaaminika kuwa Baloteli tayari
amesha rejea nchini Italia.
MATCH
FACTS
Head-to-head
- Mataifa hayo mawili wamekutana mara nane katika maichuano inayoandaliwa na shirikisho la soka duniani Fifa katika kipindi cha miaka 85 iliyopita. Uruguay imeshinda mara tatu ambapo Italia imefanikiwa kuishinda Uruguay mara mbili na tatu wamekwenda sare.
- Timu hizo mbili kwa mara ya mwisho kukutana ilikuwa katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki mwezi November 2011 mjini Rome ambapo La Celeste walishinda kwa bao 1-0 huku shukrani ikiwa ni kwa bao la Sebastian Fernandez.
- Miongoni mwa wachezaji naen kati ya wale wale aliokuwepo katika mchezo huo wa wa ushindi walikuwepo katika mchezo waliofungwa na Brazil kwa bao 2-1 ambapo wao Italia jumla ya wachezaji sita walikuwepo katika kikosi chao kilicho fungwa na Hispania Alhamisi.
No comments:
Post a Comment