Atletico Mineiro imeambia Arsenal kuwa wanaweza kumpata mchezaji wake Bernard AnĂcio Caldeira Duarte kwa pauni milioni 25 baada ya uongozi kumuweka rasmi sokoni.
Mineiro ambayo ilitwaa taji la vilabu Marekani ya Kusini wiki iliyopita tayari imejiweka tayari kuwa maisha bila ya kiungo mwenye umri wa miaka 20 wakati huu ambapo washika mitutu wakiwa wameonyesha nia ya kunasa saini yake.
Arsene Wenger amekuwa akimfuatia kwa muda mrefu kiungo huyo ambaye anatabiriwa kuwa nyota mkubwa hapo baadaye kutokea Marekani ya kusini.
Kwa mujibu wa mkuruhenzi wa Mineiro Eduardo Maluf, amesema wanachotakiwa kufanya Arsenal ni kufikia dau la angalau pauni milioni £25
No comments:
Post a Comment