Arsenal ina matumaini kuwa Fabregas ataachana na United na kuelekea kwa mara nyingine tena na wao watalipa kiasi cha pauni milioni £25.
Arsenal iko tayari kupambana na Manchester United kwa ajili ya kunasa saini ya skipper Cesc Fabregas kiangazi hii.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Hispania ndiye windo la kwanza la meneja mpya wa United David Moyes kaangazi hii.
Taarifa za kidaku zainasema kuwa hii leo mchezaji huyo aliwaambia baadhi ya marafiki zake kuwa anataka kuondoka La Liga na kuelekea Old Trafford.
No comments:
Post a Comment