Wilfried Zaha akishangilai goli lake la kusawazisha kwa Manchester United.
David Moyes tayari amesha zungumza kuwa msimu mpya wa ligi kuu ya soka nchini England Barclays Premier League utakuwa mgumu.
Manchester United itakuwa na mwanzo mgumu kwani itakuwa inakutana na Chelsea na Liverpool katika michezo ya mwanzoni mwa msimu mwishoni mwa mwezi ujao.
Pengine hakutegemea kuona michezo ya ziara ya maandalizi ya kuanza msimu barani Asia na Australia kuwa ni ya kimatokeo zaidi kutengeneza mbinu.
Bila shaka michezo ya maandalizi ya kuanza msimu ni juu ya kujenga fitness, huku bao la dakika ya mwisho lililofungwa na Wilfried Zaha hii leo likiiokoa United kupoteza mchezo wake wa tatu wa ziara hiyo kati ya michezo minne waliyocheza.

Vikosi
Cerezo Osaka: Jin Hyeon, Sakemoto, Fujimoto, Yama, Maruhashi, Yokoyama, Kusukami, Fabio, Sugimoto, Minamino, Edno
Subs: Takeda, Tada, Moniwa, Araiba, Bando, Yoshino, Edamura, Kurogi, Akiyama, Kogure, Mukuhara
Goal: Sugimoto 34, Minamino 63
Man United: Lindegaard; Rafael (Fabio 79), Smalling, Ferdinand, Buttner (Evra 79); Young (Cleverley 79), Giggs (Lingard 79), Jones (Anderson 46), Kagawa (Zaha 58), Welbeck, Van Persie (Januzaj 69)
Subs: De Gea, Amos, Keane
Goal: Kagawa 54

Bao la dakika ya 91 la Zaha limemfanya Moyes kupata nafuu ya kimatokeo ya michezo yake ya ziarani na akiwa anaelekea katika mchezo wake wa mwisho wa ziara hiyo huko Hong Kong jumatatu.
Mshambuliaji wa United Danny Welbeck katika hekaheka za mchezo wao ulimalizika kwa sare ya bao 2-2.
Shinji Kagawa akijilaumu baada ya kukosa goli.
Mshambuliaji wa Manchester United Robin van Persie (katikati) akipiga shuti lililompita Tatsuya Yamashita wa Cerezo Osaka.
Zaha
Van Persie na Tatsuya Yamashita.
Warm up: Van Persie, Danny Welbeck na Ashley Young
No comments:
Post a Comment