KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, July 4, 2013

KUTOKA WWW.SALEHEJEMBE.BLOGSPOT.COM........... ANGALIA TUZO ZA LIGI KUU YA VODACOM MSIMU ULIOPITA ZILIZVYOTOLEWA ZILIVYOTOLEWA .

KIPRE AKICHUKUA ZAWADI YA MFUNGAJI BORA KUTOKA KWA WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO, FENELLA MUKANGARA, KULIA NI KELVIN TWISA, MENEJA MASOKO WA VODACOMKIPRE (KUSHOTO) AKIWA NA PACHA WAKE, BOLOU
SALUM MWALIMU, MENEJA MAHUSIANO YA NJE YA VODACOM AKITOA NENO


MRAGE KABANGE AKIMUWAKILISHA ABDALLAH KIBADENI ALIYEKUWA KOCHA BORA..

YANGA WAKICHUKUA ZAWADI YA TIMU YENYE NIDHAMU


KOCHA KELVIN CHAKE, AKIWAKILISHA KATIKA ZAWADI YA KIPA BORA ILIYOCHUKULIWA NA DAVID BURHANI ALIYETOKEA KATIKA KIKOSI CHAKE CHA PRISONS

No comments:

Post a Comment